Bado Niponipo JF-Expert Member Joined Aug 15, 2008 Posts 680 Reaction score 168 Jan 4, 2012 #1 Wakuu heshima mbele sana. Wataalamu wa uchumi naombeni mtuambie kama usd itazidi kushuka dhidi ya tsh katika quarter hii ya kwanza ya mwaka, au kama itapanda tena?
Wakuu heshima mbele sana. Wataalamu wa uchumi naombeni mtuambie kama usd itazidi kushuka dhidi ya tsh katika quarter hii ya kwanza ya mwaka, au kama itapanda tena?
King Kong III JF-Expert Member Joined Oct 15, 2010 Posts 56,205 Reaction score 79,515 Jan 4, 2012 #2 Mjasiliamali lazima utake risk so nunua tu dollar uziifazi,hapo feb dollar itapanda dhidi ya shilling kama ikishuka itakula kwako tu ndo ujasiliamali
Mjasiliamali lazima utake risk so nunua tu dollar uziifazi,hapo feb dollar itapanda dhidi ya shilling kama ikishuka itakula kwako tu ndo ujasiliamali
Bado Niponipo JF-Expert Member Joined Aug 15, 2008 Posts 680 Reaction score 168 Jan 4, 2012 Thread starter #3 King Kong III said: Mjasiliamali lazima utake risk so nunua tu dollar uziifazi,hapo feb dollar itapanda dhidi ya shilling kama ikishuka itakula kwako tu ndo ujasiliamali Click to expand... Asante mkuu, ngoja tusubiri wachumi watujuze kitaalamu zaidi.
King Kong III said: Mjasiliamali lazima utake risk so nunua tu dollar uziifazi,hapo feb dollar itapanda dhidi ya shilling kama ikishuka itakula kwako tu ndo ujasiliamali Click to expand... Asante mkuu, ngoja tusubiri wachumi watujuze kitaalamu zaidi.