USD Kushuka Zaidi Dhidi Ya Tsh?

USD Kushuka Zaidi Dhidi Ya Tsh?

Bado Niponipo

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2008
Posts
680
Reaction score
168
Wakuu heshima mbele sana.

Wataalamu wa uchumi naombeni mtuambie kama usd itazidi kushuka dhidi ya tsh katika quarter hii ya kwanza ya mwaka, au kama itapanda tena?
 
Mjasiliamali lazima utake risk so nunua tu dollar uziifazi,hapo feb dollar itapanda dhidi ya shilling kama ikishuka itakula kwako tu ndo ujasiliamali
 
Mjasiliamali lazima utake risk so nunua tu dollar uziifazi,hapo feb dollar itapanda dhidi ya shilling kama ikishuka itakula kwako tu ndo ujasiliamali

Asante mkuu, ngoja tusubiri wachumi watujuze kitaalamu zaidi.
 
Back
Top Bottom