Umependelewa sana Mkuu kama Unaweza Kurudi Rudi kaichukue Tu ni FAIR sana bei uliyopewa.Naomba model number mzee.. Bei nzuri.. jana tulikua KKoo 43" tunakaziwa 650k
Ngoja nijadiliane na Admin wa Ghetto.Umependelewa sana Mkuu kama Unaweza Kurudi Rudi kaichukue Tu ni FAIR sana bei uliyopewa.
Naamini hapo umepewa SMART TV kama ndio basi Rudi Kaichukue maana HISENSE wamepandisha BEI za Product zao zote hasa TV.
Bei za HISENSE saivi zote ni Moto
Si amekuambia from Tz, ujue ndo hivyo.Kama imeibiwa vile
LED TV????? Je ni 4K
*HISENSE TV PRICE LIST*BEI MPYANaomba model number mzee.. Bei nzuri.. jana tulikua KKoo 43" tunakaziwa 650k
EMS ni expensive sio kweliNina pesa hapa kwenye Mfuko wa Shati. Ila gharama ya usafir kuja Sumbawanga ni juu yako. Na ningependa zaid utumie EMS
Hahah, Atakaekuja inunua kama mteja akitokea Humu JF nitaomba Alete MREJESHO wa wapi ameinunulia TV.Sio kwa ubaya lakini hiyo picha ya kwanza ya tv ungeipigia ndani hata kwenye meza.
Hapo ilipo ipo kama kuna sehemu imetoka kwa njia za panya au kwa kulazimishwa, kisha ikapumzishwa kwenye geto hilo hapo. Hapo ndio imetolewa nje kwa muda mfupi sana kwa ajili ya kutafuta mteja.
👇👇TV ya Hela yako ni 40-43inch👇👇 (MPYA)Ipo Cash 600k
*HISENSE TV PRICE LIST*BEI MPYA
________________________________________
HISENSE TV 32A5200 350,000
HISENSE TV 32A4 420,000
HISENSE TV 40 normal 540,000
HISENSE TV 40 Smart 570,000
HISENSE TV 43 normal 600,000
HISENSE TV 43A4 *650,000 .
HISENSE TV 50A6 4K 1,010,000.
HISENSE TV 55 smart 4K now 1,150,000
HISENSE TV 58A6 SMART @ 1,200,000.
HISENSE TV 65A6 SMRT 4K *1,700,000
HISENSE TV 65U7K @, 2,250,000
HISENSE TV
HISENSE TV 70A6 4K 2,300,000.
HISENSE 75A6 SMART UHD -2,400,000
HISENSE 75A7 SMART UHD -2,450,000
HISENSE TV 75U7H @ 3,300,000
HISENSE TV 85U7K @ 3,500,000
HISENSE TV 85A7H/K 4K@ 3,700,000
HISENSE TV 98AU7 @ 8,000,000
HIZI BEI nauza DUKANI kwangu Sina DISCOUNT.
Sasa Kama Unapata Hizi BEI kariakooo Kwanini usichukue Tu Mkuu?
Sumbawanga kuna Maduka huko Mkuu naamini huwezi kosa Duka Huko Boss wanalouza TV.Nina pesa hapa kwenye Mfuko wa Shati. Ila gharama ya usafir kuja Sumbawanga ni juu yako. Na ningependa zaid utumie EMS
Weeee! Mara ngapi unapata mzigo na kava ni tofauti na kilichomo ndani!!!True 4K
Hata BOX tu mkuu mbona limechorwa 4k..