The bump
JF-Expert Member
- Nov 22, 2019
- 1,488
- 2,908
- Thread starter
- #21
Okay Okay Mr.DeejayWeeee! Mara ngapi unapata mzigo na kava ni tofauti na kilichomo ndani!!!
Mazingira ya picha ndo yenye utata:
1. Basi ya mchongo
2. Ina hitirafu wanaoijua wenyewe
Haikuwa ya humo getoni. Na haijatolewa kwenda kutafutiwa mteja mtaani.
Kuna jambo hapa
Press Track no.2 Jay Mo - Jua na Mvua