INAUZWA Used photocopy mashine DSM Ilala

INAUZWA Used photocopy mashine DSM Ilala

usedphotocopytz

Senior Member
Joined
Aug 18, 2015
Posts
173
Reaction score
23
Tunauza photocopy maahine aina za canon zenye uwezo tofauti tofauti . Tupo ilala Dsm amana .

Sio tu tunakuuzia pia tunakufundisha kuitumia na kuifanyia service mwenyewe bila kuita fundi kwa zile service ndogo ndogo.

Kwa wateja wa dsm unaletewa mpaka kwako na wa mkoa tunapeleka mpaka stendi ya mkoa magufuli mbezi.

Wasiliana
0715331233

Tiktok. . brand_computer2023

Tembelea humo kuna video tunaweka za kufundisha kuhusu mashine za kopy. Karibuni.View attachment 2349231View attachment 2349234View attachment 2349228View attachment 2349229View attachment 2349227View attachment 2349230View attachment 2349232View attachment 2349233
IMG-20220903-WA0001.jpg
 
Bei zinatofautiana kutokana na ukubwa wa mashine na ufanyaji kazi wake halafu pia bei maelewano yapo. Bei zinaanzia 1.200.000 tshs mpaka 2.800.000 tshs inategemea na mashine.

Muhimu kama unataka tuambie unataka kwa matumizi yapi ili tukupe ushauri mashine inayokufaa.

Bei hatuwezi kuzipost hapa kwa maana zinabadilika kushuka na kupanda .

Tupo ilala AMANA Dsm.

Karibu.

Tiktok nimeweka Video nikizionesha namna zinavyofanya kazi jaribu kuingia huko ucheki ipi inakufaa kwa kazi zako.

Tiktok. brand_computer2023View attachment 2349688View attachment 2349689
 
Bei zinatofautiana kutokana na ukubwa wa mashine na ufanyaji kazi wake halafu pia bei maelewano yapo. Bei zinaanzia 1.200.000 tshs mpaka 2.800.000 tshs inategemea na mashine.

Muhimu kama unataka tuambie unataka kwa matumizi yapi ili tukupe ushauri mashine inayokufaa.

Bei hatuwezi kuzipost hapa kwa maana zinabadilika kushuka na kupanda .

Tupo ilala AMANA Dsm.

Karibu.

Tiktok nimeweka Video nikizionesha namna zinavyofanya kazi jaribu kuingia huko ucheki ipi inakufaa kwa kazi zako.
Canon photocopy machine yenye feeder shilingi ngapi? Ikiwezekana niwekee pia na idadi ya milango yake, na copy ilizotoa mpaka sasa.

Tajeni bei ili kupunguza usumbufu wa kupigiwa pigiwa. Picha pia ni muhimu.
 
Canon ir2270 inatoa kopy 22 kwa dakika.. inageuza ,inaprint,size zote mpaka A3,black only... bei maelewano yapo zinaanzia 2.200.000 tshs...copy zilizopiga nimeweka picha.. sema hapa kila nikiweka picha zingine hazionekani sijui why..maybe nielekezeni nakosea wap.

Video nimeweka tiktok njoo uone kule video nimezirekodi.

Link ya tiktok naweka hapa...

View attachment 2351688View attachment 2351689View attachment 2351690View attachment 2351691View attachment 2351692View attachment 2351693View attachment 2351694View attachment 2351695
20220909_172924.jpg
 
Karibu Brand Computer Solutions Tunauza photocopy mashine aina zote na zenye UBORA.

Tupo Mtaa wa MOSHI NA TUKUYU Dsm ILALA AMANA
DAR-ES-SALAAM
+255715331233​

Back
Top Bottom