Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu wengine hata sio wa kuwajibu. Mtu ameandika all the details , yeye anakuja na maswali ya size gani utadhani haijaandikwa .....!Nimeona kasema Inch 40[emoji115]
Nadhani sometimes tunavusha kusoma details ndiyo sababu mtu anaangalia picha tu na kuachia comment 🤔Watu wengine hata sio wa kuwajibu. Mtu ameandika all the details , yeye anakuja na maswali ya size gani utadhani haijaandikwa .....!
Amejiuzia mwenyewe!Bado ipo ama ushauza
Mwisho ni 550k Wakuu
Hii TV ina umri gani?
500k nipo hapahapa mbezi