INAUZWA Used Samsung Smart Tv inch 40

Ishauzwa kuna mianne hapa uhakika mfuko wa shati.
 
Watu wengine hata sio wa kuwajibu. Mtu ameandika all the details , yeye anakuja na maswali ya size gani utadhani haijaandikwa .....!
Nadhani sometimes tunavusha kusoma details ndiyo sababu mtu anaangalia picha tu na kuachia comment 🤔
 
Ipo nyingine wakuu Samsung smart tv inch 40 ipo Sinza. Inauzwa laki 550 bei pungufu tunaongea.
 
Kama inavyosomeka hapo Mwanzo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…