@@@ ..."Used" "Spare" PART...@@@

Wewe shem wewe vipi? Nimekwambia umeletewa spare part only to realise kua kumbe mwenyewe hajaridhia.... Hajaridhia bada ya kungundua uzuri bada ya kondolewa? Ama maybe sababu aliiweka pembeni hadi atapo hitaji? Ama tu sababu ya roho mbaya na uchoyo wala ahitaji! It does not matter....

Maana bana unapo kua na gari ama kifaa ni lazima ulitunze na ulitafutie hata mahala salama pa kulilaza.... Ukiibiwa spare part usishangae.... Hivo narudi tena kwenye swali.... What do you do?
 
Nyie wote wapendwa wangu, nilikuwa nawasalimu.
Ila nawakumbusha 'be eyes" maongezi yakizidi sana yanaleta ugonjwa. :mimba:

Hii post naifuta aisee..... Kwamba you can insinuate this na Sweetie aweza pita na kuona hii..... :scared: Unataka anielewe vipi Konnie.... lol (in case it happens); Nisha iriport kwa mod..
 
Kama spare yenyewe nimeiona inanifaa na nilipoitumia ikaonyesha ni imara na itadumu kwenye gari langu. Imekula kwake, at any cost. Kama vipi magari itabidi yagongane na unajua tena gari langu ni Landrover 109 lol
 
Duu!! Nimeshiba.... Kua na siku njema ODM.....
 
Karibu tena. Ukiona spare imezubaa sehemu tafazali usisite kunitonya:crazy:

Shem spare ya kununua tu bila mpangilio sababu ipo cheap and available hua hazifai kabisa... Siku unataka kutumia ndio unagundua zipo in the same condition na ulo nayo na ulitupa tu pesa. Hivo sitakutonya..... Labda nione kabisa wahitaji na unatafuta within reason.

Alafu hujanitakia siku njema na mimi, nitakie haraka niondoke mimi... lol
 
@BE,

Kama mtu mwenyewe in the first place ni used na pia spare part...atawezaje kutafuta brand new (genuine)???

Au bado naona mawenge wenge?
 
Hivi ni wewe ADi au kuna mtu kaiba PW yako?

Haya yanayoendelea tumeyazoea kwa akina Kongosho, Rejao, Mwali etc!!!

Babu DC!!
 
Kifaa ni "used" lakini bado kinauzwa kama "spare" na watu wenye kumiliki vifaa vya moto wanakimbilia "kukinunua"...! Mafundi wanakushauri eti ni bora ununue "used" kuliko "kipya"...!

Ni kwanini lakini?

baba enock leo uliamkia wapi? Usiku ulikuwa unawaza nini?sio kawaida yako mkuu.
 
Hivi imekaaje kinachotumika ni used na kinachotumiwa ni used?
 
Hivi ni wewe ADi au kuna mtu kaiba PW yako?

Haya yanayoendelea tumeyazoea kwa akina Kongosho, Rejao, Mwali etc!!!

Babu DC!!

DC mbona hamna baya nililoongea....lol. Hapo ndio kwanza nilikua namuwek kwenye mstari.... Lakin hata hivo kwa heshima yako naondoka si post tena....
 
Kama kitu ni used lakini ni genuine .........hakuna matata!!
 
Uwe na siku njema sana shem wangu wa ukweli.
 
DC mbona hamna baya nililoongea....lol. Hapo ndio kwanza nilikua namuwek kwenye mstari.... Lakin hata hivo kwa heshima yako naondoka si post tena....

Pumzika tu dada,

Watu wengine tulikuwa tunaanza kuona vilnyota nyota!!

Babu DC!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…