AshaDii
Platinum Member
- Apr 16, 2011
- 16,189
- 18,102
Sasa shem we mwenyewe umesema kuwa mwenyewe spare hajaridhia kuiacha, kama hajaridhia kuiacha unategemea utaipataje?? Uiibe au? Na wizi wa spare part unafikiri ni rahisi? Yani ukaifungue mwenyewe anakuangalia tu? Uje uifunge mwenyewe anakuangalia tu? Afu gari lake litatembeaje sasa?
Wewe shem wewe vipi? Nimekwambia umeletewa spare part only to realise kua kumbe mwenyewe hajaridhia.... Hajaridhia bada ya kungundua uzuri bada ya kondolewa? Ama maybe sababu aliiweka pembeni hadi atapo hitaji? Ama tu sababu ya roho mbaya na uchoyo wala ahitaji! It does not matter....
Maana bana unapo kua na gari ama kifaa ni lazima ulitunze na ulitafutie hata mahala salama pa kulilaza.... Ukiibiwa spare part usishangae.... Hivo narudi tena kwenye swali.... What do you do?