Used TVS king Bajaji inahitajika

Mwamba028

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2013
Posts
4,595
Reaction score
3,670
Kwa Milion 2 na maelewano yapo, inahitajika hyo bajaji aina ya TVS
 
Nzima au iliyopata ajali?
Bajaji hata iwe used vipi haiwezi kuwa na bei ya Bodaboda.
Jipange angalau ufike 3.5m ili uwe angalau na uhakika wa unachohitaji la sivyo utakuta unanunua scraper.
 
Mimi ninayo iko bomba kabisa na ni aina hiyo unayotaka ila bei yake ni 3.7milion.angalia attachment
 

Attachments

  • 1395068591832.jpg
    66.9 KB · Views: 108
  • 1395068615843.jpg
    82.5 KB · Views: 110
  • 1395068638494.jpg
    58 KB · Views: 97
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…