Wapo wa kuwaunga mkono, wasingekuwepo risasi zenu zisingetumika kuwaua. Hasa wewe ndiye unayetumika kuwateka watu na kwenda kuwaua hao unaosema hawapo. Mtaua sana watu lkn hata wewe utakufa tu ipo siku. Haya umemuua Mzee Wa watu kwa Jambo dogo tu, ungemla nyama ili uridhike. Ww unatoa maneno ya Shombo kwa sababu ww upo free, huguswi na Polisi, hata kuteka unateka wewe, chakula chako na familia yako ipo guarenteed. Wenzio mnawaua kila siku, wakiongea kdg unawaona wajinga, washenzi, wasio na akili. Kwamba muwaue na ht kulia hawana haki. Sawa. Mungu akujaalie Maisha marefu uone vilio vingi vya wahanga wako. Unywe chai wakati wanapopigwa hadi kufa. Vilio vyao kwenye Kambi zenu za mateso viwe mziki mzuri mackioni mwako..Hukuna na hayupo wa kuwaungeni mkono maana ninyi mnachopigania ni maslahi yenu .mnachotaka ninyi ni upana wa njia itakayowawezesha kupata udiwani na ubunge na siyo maslahi ya wananchi.ninyi ni mafisi tu mnaotoka mate mdomoni kwa ajili ya kuvizia uongozi tu. Hamna uchungu wala kuguswa na maisha ya watanzania.ndio maana kwa ulafi wenu mmeona mpendekeze kuwe na wabunge wawili katika kila jimbo ili muwe na uhakika wa kupata chochote kile mkononi mwenu. Ninyi ni matapeli tu wa kisiasa.
Kweli kabisa. Ni afadhali wawaamini watekaji, wauaji, mafisadi na wezi wa CCM. Nimekuelewa sana tu Mkuu..Hamna mwananchi mjinga anaeweza kuwaamini matapeli wa kisiasa wa chadema.
Siku akibinywa PUMBU , au kutekwa mwanafamilia wa damu moja, akili zako ulizoweka MATAKONI zitakurejea 🤔🤔Kweli kabisa. Ni afadhali wawaamini watekaji, wauaji, mafisadi na wezi wa CCM. Nimekuelewa sana tu Mkuu..
Walilinda kura kwenye chaguzi zao?CHADEMA watawahamasisha vipi/kwa njia zipi wananchi ambao nimateka wakuu wa CCM? Uchaguzi wowote ambao hata watu milioni moja wakijitokeza kupiga kura, huo tayari ni ushindi kwa CCM.
Ninacho kubaliana na wewe ni kwa CHADEMA kuelimisha na kufanya kazi na wananchi wawe tayari kujitokeza kwa wingi wao wote kwenda kupiga kura; na baada ya kupiga kura, wananchi hao hao wahakikishe kura zao hazitachezewa na mtu yeyote, awe polisi, msimamia uchaguzi au mwingine yeyote.
Wananchi kila kituo cha kupigia kura wahakikishe kura sahihi zilizo pigwa ndizo matokeo yake yanatangazwa.
Ni wananchi pekee wanaoweza kulitekeleza hili wakiwa wameandaliwa vizuri na kuwa na elimu ya kutosha.
Kuharibu kura za wananchi kunakofanywa na serikali na CCM huo ni uhalifu. Kwa hiyo wananchi wakiongozwa na CHADEMA wawe tayari kuzuia uhalifu huu kwa gharama yoyote.
Kugomea uchaguzi kunakipa tu chama tawala kuendelea kutawala. Chadema wamelishagundua. Kuhusu civil disobedience kwa hapa kwetu ni kucheza 'patapotea' kwa sababu wananchi wengi ni 'politically ignorant' na 'unreliable'. Hivyo, to bank on that is in my opinion to choose to self-defeatism.CHADEMA,
Kwa vile sasa mmeshakiri rasmi kwamba CCM wamewacheza [played you], hamna budi kujaribu mbinu nyinginezo katika harakati zenu za kuleta mabadiliko ya kisiasa.
Civil disobedience na passive resistance.
Hamasisheni watu waanze kugomea matendo ya serikali ya CCM.
Mifano:
1. Msishiriki kabisa chaguzi zozote zile zilizopangwa kufanyika chini ya mazingira yaliyopo hivi sasa. Wahamasisheni na watu waache kushiriki. Wahamasisheni waache kujiandikisha kupiga kura. Pia, vishawishini na vyama vingine vya upinzani visishiriki kabisa katika chaguzi zozote zile.
2. Washawishini wananchi waache kujitokeza kwenye sherehe zozote zile zilizoandaliwa na serikali.
3. Washawishini wananchi waache kujitokeza kwa wingi sehemu ambazo viongozi wa CCM wanakuwepo. Mfano, kama Rais ana ratiba ya kwenda kufungua mradi sehemu, wananchi wasiende. Wamwache rais na maCCM wenzake washiriki peke yao.
4. Natamani sana waajiriwa wote wa serikali kufanya migomo inayolenga kuipa shinikizo serikali ya CCM ili yapatikane mabadiliko ya kweli ya kisiasa.
Mbinu zingine mtachangia na wengine. Ila ni lazima ziwepo kwenye wigo wa civil disobedience na passive resistance.
Natambua kwamba kuyatimiza yote hayo si kazi rahisi, hususan kwenye hii jamii yetu ambayo imejaa uoga wa kupitiliza.
İli yote hayo yatimie, ni lazima wengi wetu tuwe on-code. Bila ya kuwa codified, hakuna kitakachotimia.
Kwa wale waliopo Marekani, nawatakia siku njema ya mapumziko ya sikukuu ya MLK Jr. hapo kesho Jumatatu tarehe 16.
Binafsi ninamkubali sana MLK Jr. He was super brilliant.
MLK day ndo imenipa hamasa ya kufungua mjadala huu kwa sababu Dr. King na wenzake walitumia hizo mbinu za civil disobedience na passive resistance katika kuishinikiza serikali ya Marekani kuufuta ubaguzi wa rangi wa kitaasisi [institutional racism].
Mwamko huo wa kuipa shinikizo serikali ya Marekani ulichochewa na mwanamama Rosa Parks ambaye siku moja anatoka kazini akiwa amechoka, alikataa kuachia siti yake kwenye basi ili kumpisha mzungu akae kama ambavyo sheria ilivyokuwa inasema.
Kukataa kwake huko ndo kukazaa Montgomery Bus Boycott iliyodumu kwa mwaka mzima. Mgomo huo pia ndo uliomweka Dr. King kwenye chati za uanaharakati na mengineyo yaliyobaki yakawa ni historia.
Mgomo huo pia ulipelekea mahakama ya upeo ya Marekani [US Supreme Court] kutoa uamuzi kuwa sheria za jimbo la Alabama na za mji wa Montgomery zilikuwa zinaenda kinyume na katiba ya nchi.
Pata picha endapo watu wanagoma kupanda ndege za ATCL. Wanagoma kupanda mwendokasi, n.k., mwisho wa siku serikali haitakuwa na jinsi zaidi ya kuwasikiliza watu kwa umaanani.
Najua kuandika tu na kutoa mawazo huku umekaa nyumbani kwenye kiti chako ni rahisi zaidi kuliko kutenda.
Lakini pia, hakuna tendo la kibinadamu linalotokea tu bila kuanza kama fikra kichwani.
Katika jitihada za kuleta mabadiliko nchini, ni lazima kujaribu mbinu mbalimbali.
Civil disobedience na passive resistance ni mbinu ambazo zimeleta mabadiliko sehemu nyingi tu hapa duniani.
Na kama huko kwingine mafanikio yalipatikana, basi naamini hata hapa Tanzania inawezekana pia.
CHADEMA, NCCR, and others, add this arrow in your quiver. It works.
Kwani mbona hata wakishiriki chaguzi CCM bado inaendelea kutawala.Kugomea uchaguzi kunakipa tu chama tawala kuendelea kutawala. Chadema wamelishagundua. Kuhusu civil disobedience kwa hapa kwetu ni kucheza 'patapotea' kwa sababu wananchi wengi ni 'politically ignorant' na 'unreliable'. Hivyo, to bank on that is in my opinion to choose to self-defeatism.
Nani hao unawazungumzia wewe?Walilinda kura kwenye chaguzi zao?
Kqa akili yako, una-assume watanzania (wananchi) wote ni ChademaCHADEMA,
Kwa vile sasa mmeshakiri rasmi kwamba CCM wamewacheza [played you], hamna budi kujaribu mbinu nyinginezo katika harakati zenu za kuleta mabadiliko ya kisiasa.
Civil disobedience na passive resistance.
Hamasisheni watu waanze kugomea matendo ya serikali ya CCM.
Mifano:
1. Msishiriki kabisa chaguzi zozote zile zilizopangwa kufanyika chini ya mazingira yaliyopo hivi sasa. Wahamasisheni na watu waache kushiriki. Wahamasisheni waache kujiandikisha kupiga kura. Pia, vishawishini na vyama vingine vya upinzani visishiriki kabisa katika chaguzi zozote zile.
2. Washawishini wananchi waache kujitokeza kwenye sherehe zozote zile zilizoandaliwa na serikali.
3. Washawishini wananchi waache kujitokeza kwa wingi sehemu ambazo viongozi wa CCM wanakuwepo. Mfano, kama Rais ana ratiba ya kwenda kufungua mradi sehemu, wananchi wasiende. Wamwache rais na maCCM wenzake washiriki peke yao.
4. Natamani sana waajiriwa wote wa serikali kufanya migomo inayolenga kuipa shinikizo serikali ya CCM ili yapatikane mabadiliko ya kweli ya kisiasa.
Mbinu zingine mtachangia na wengine. Ila ni lazima ziwepo kwenye wigo wa civil disobedience na passive resistance.
Natambua kwamba kuyatimiza yote hayo si kazi rahisi, hususan kwenye hii jamii yetu ambayo imejaa uoga wa kupitiliza.
İli yote hayo yatimie, ni lazima wengi wetu tuwe on-code. Bila ya kuwa codified, hakuna kitakachotimia.
Kwa wale waliopo Marekani, nawatakia siku njema ya mapumziko ya sikukuu ya MLK Jr. hapo kesho Jumatatu tarehe 16.
Binafsi ninamkubali sana MLK Jr. He was super brilliant.
MLK day ndo imenipa hamasa ya kufungua mjadala huu kwa sababu Dr. King na wenzake walitumia hizo mbinu za civil disobedience na passive resistance katika kuishinikiza serikali ya Marekani kuufuta ubaguzi wa rangi wa kitaasisi [institutional racism].
Mwamko huo wa kuipa shinikizo serikali ya Marekani ulichochewa na mwanamama Rosa Parks ambaye siku moja anatoka kazini akiwa amechoka, alikataa kuachia siti yake kwenye basi ili kumpisha mzungu akae kama ambavyo sheria ilivyokuwa inasema.
Kukataa kwake huko ndo kukazaa Montgomery Bus Boycott iliyodumu kwa mwaka mzima. Mgomo huo pia ndo uliomweka Dr. King kwenye chati za uanaharakati na mengineyo yaliyobaki yakawa ni historia.
Mgomo huo pia ulipelekea mahakama ya upeo ya Marekani [US Supreme Court] kutoa uamuzi kuwa sheria za jimbo la Alabama na za mji wa Montgomery zilikuwa zinaenda kinyume na katiba ya nchi.
Pata picha endapo watu wanagoma kupanda ndege za ATCL. Wanagoma kupanda mwendokasi, n.k., mwisho wa siku serikali haitakuwa na jinsi zaidi ya kuwasikiliza watu kwa umaanani.
Najua kuandika tu na kutoa mawazo huku umekaa nyumbani kwenye kiti chako ni rahisi zaidi kuliko kutenda.
Lakini pia, hakuna tendo la kibinadamu linalotokea tu bila kuanza kama fikra kichwani.
Katika jitihada za kuleta mabadiliko nchini, ni lazima kujaribu mbinu mbalimbali.
Civil disobedience na passive resistance ni mbinu ambazo zimeleta mabadiliko sehemu nyingi tu hapa duniani.
Na kama huko kwingine mafanikio yalipatikana, basi naamini hata hapa Tanzania inawezekana pia.
CHADEMA, NCCR, and others, add this arrow in your quiver. It works.
🎯CHADEMA,

Kuna kuendelea kutawala 1) kirahisi (kwa kutotumia effort yoyote) na 2) kuna kuendelea kutawala kwa 'mbinde' (kwa kujua kwamba haikuwa rahisi). Ingawa 1&2 yote ni kutawala, kuna tofauti kubwa.Kwani mbona hata wakishiriki chaguzi CCM bado inaendelea kutawala.
Na inatawala kwa kujigamba kabisa kwamba imechaguliwa kihalali.
Kweli ulinena vyema. Mhe. TAL kapita humuhumuCHADEMA,
Kwa vile sasa mmeshakiri rasmi kwamba CCM wamewacheza [played you], hamna budi kujaribu mbinu nyinginezo katika harakati zenu za kuleta mabadiliko ya kisiasa.
Civil disobedience na passive resistance.
Hamasisheni watu waanze kugomea matendo ya serikali ya CCM.
Mifano:
1. Msishiriki kabisa chaguzi zozote zile zilizopangwa kufanyika chini ya mazingira yaliyopo hivi sasa. Wahamasisheni na watu waache kushiriki. Wahamasisheni waache kujiandikisha kupiga kura. Pia, vishawishini na vyama vingine vya upinzani visishiriki kabisa katika chaguzi zozote zile.
2. Washawishini wananchi waache kujitokeza kwenye sherehe zozote zile zilizoandaliwa na serikali.
3. Washawishini wananchi waache kujitokeza kwa wingi sehemu ambazo viongozi wa CCM wanakuwepo. Mfano, kama Rais ana ratiba ya kwenda kufungua mradi sehemu, wananchi wasiende. Wamwache rais na maCCM wenzake washiriki peke yao.
4. Natamani sana waajiriwa wote wa serikali kufanya migomo inayolenga kuipa shinikizo serikali ya CCM ili yapatikane mabadiliko ya kweli ya kisiasa.
Mbinu zingine mtachangia na wengine. Ila ni lazima ziwepo kwenye wigo wa civil disobedience na passive resistance.
Natambua kwamba kuyatimiza yote hayo si kazi rahisi, hususan kwenye hii jamii yetu ambayo imejaa uoga wa kupitiliza.
İli yote hayo yatimie, ni lazima wengi wetu tuwe on-code. Bila ya kuwa codified, hakuna kitakachotimia.
Kwa wale waliopo Marekani, nawatakia siku njema ya mapumziko ya sikukuu ya MLK Jr. hapo kesho Jumatatu tarehe 16.
Binafsi ninamkubali sana MLK Jr. He was super brilliant.
MLK day ndo imenipa hamasa ya kufungua mjadala huu kwa sababu Dr. King na wenzake walitumia hizo mbinu za civil disobedience na passive resistance katika kuishinikiza serikali ya Marekani kuufuta ubaguzi wa rangi wa kitaasisi [institutional racism].
Mwamko huo wa kuipa shinikizo serikali ya Marekani ulichochewa na mwanamama Rosa Parks ambaye siku moja anatoka kazini akiwa amechoka, alikataa kuachia siti yake kwenye basi ili kumpisha mzungu akae kama ambavyo sheria ilivyokuwa inasema.
Kukataa kwake huko ndo kukazaa Montgomery Bus Boycott iliyodumu kwa mwaka mzima. Mgomo huo pia ndo uliomweka Dr. King kwenye chati za uanaharakati na mengineyo yaliyobaki yakawa ni historia.
Mgomo huo pia ulipelekea mahakama ya upeo ya Marekani [US Supreme Court] kutoa uamuzi kuwa sheria za jimbo la Alabama na za mji wa Montgomery zilikuwa zinaenda kinyume na katiba ya nchi.
Pata picha endapo watu wanagoma kupanda ndege za ATCL. Wanagoma kupanda mwendokasi, n.k., mwisho wa siku serikali haitakuwa na jinsi zaidi ya kuwasikiliza watu kwa umaanani.
Najua kuandika tu na kutoa mawazo huku umekaa nyumbani kwenye kiti chako ni rahisi zaidi kuliko kutenda.
Lakini pia, hakuna tendo la kibinadamu linalotokea tu bila kuanza kama fikra kichwani.
Katika jitihada za kuleta mabadiliko nchini, ni lazima kujaribu mbinu mbalimbali.
Civil disobedience na passive resistance ni mbinu ambazo zimeleta mabadiliko sehemu nyingi tu hapa duniani.
Na kama huko kwingine mafanikio yalipatikana, basi naamini hata hapa Tanzania inawezekana pia.
CHADEMA, NCCR, and others, add this arrow in your quiver. It works.
Muongezee na uchizi kabisaUna kichaa wewe!