Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 10,017
- 18,537
Nimekulia Ubungo Maziwa, Yombo Vituka, Kiwalani Kijiwe samli, cheza sana. Kitintale chama la wahuni. Chafua sana Starlet Vituka, vuruga sana Flamingo Buza Machimbo. Manga'nizi camp Argentina FC, Malawi Zahanati, Staki shari, uwanja wa samaki, Mbagala. Tukahamia Tandale uwanja wa TP pale Mto wa ng'ombe.
Ubungo kisiwani kwa mzee Ndumbiko ndiyo alikuwa na bomba la maji wote tunachota kwake. Mara paap Goba kwa Komba Tangi bovu kanisa katoliki la kunguru. Kiselasela nikatoboa. Mtihani nikirudi mitaa niliyokulia. Wengi watu wa bwimbwi. Daah. Na siwezi kuwacheua wana. Poda/bwimbwi sio.