Noel Ngiama Makanda
JF-Expert Member
- Oct 14, 2018
- 1,782
- 3,103
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jirani yangu umewasahau UB 40 wa Charambe mmeoga sana mfereji wa mianzini!!!!Magomeni mikumi kitambo na hicho kabla ya kutua mbagala charambe, wapi wanangu wa Ze big stone chama la wana, watoto wa majokeli waalikuwa hawafui dafu, foma na wanangu wa kwa mbiku, kama hujadiba mianzini basi we ulikuwa wakishua tu, wanangu wote saizi wapo sauzi kwa mafioso na chafu pozi bila kusahau ramafosa wanasukuma ngada kisingizio wanalima mashamba ya tufaa huko, waliobaki wote mafundi gereji na kubwia bwimbwi.
Wa kishua wwMkuu umenikumbusha Kitintale, nilikaa uko kwa rafiki yangu muda wa wiki mbili maana tuna mishe tulitakiwa kuwahi mapema kuipiga pale Maziwa. Sijawahi ona sehemu inayotembelewa na pira kila mara kama ile. Yaani ni kawaida sana kwao wakati ukizingatia nimetokea sehemu ambayo tokea nikae sijawahi ona policeman, achana na defender nzima. Kuna manzi alikuwa akinisalimia kila siku, mara moja nikamwongelesha tukazoeana siku chache tu mara eti anataka nimuoe. Yaani kule hata madogo wa shule za msingi wana experience ngumu ya maisha.
Sent from my PBCM30 using Tapatalk
Daaaah we wa kwetu kabisaa, piga maji sanaa mianzini, UB 40 🙌🙌Jirani yangu umewasahau UB 40 wa Charambe mmeoga sana mfereji wa mianzini!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Daaaah we wa kwetu kabisaa, piga maji sanaa mianzini, UB 40 [emoji119][emoji119]
Ni mistari ya kisingeli ?Nimekulia Ubungo Maziwa, Yombo Vituka, Kiwalani Kijiwe samli, cheza sana. Kitintale chama la wahuni. Chafua sana Starlet Vituka, vuruga sana Flamingo Buza Machimbo. Manga'nizi camp Argentina FC, Malawi Zahanati, Staki shari, uwanja wa samaki, Mbagala. Tukahamia Tandale uwanja wa TP pale Mto wa ng'ombe.
Ubungo kisiwani kwa mzee Ndumbiko ndiyo alikuwa na bomba la maji wote tunachota kwake. Mara paap Goba kwa Komba Tangi bovu kanisa katoliki la kunguru. Kiselasela nikatoboa. Mtihani nikirudi mitaa niliyokulia. Wengi watu wa bwimbwi. Daah. Na siwezi kuwacheua wana. Poda/bwimbwi sio.
Oveeeeer, roger that!Woiiiiiiiii....!!kwetu ukifika pale kwa wazungu sasa hivi Duce ndo hosteli zao...!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Nasikiliza Mnanda au Mchiriku ... Singeli hamna kitu mule