Usela/Urafiki hoyahoya mzigo

Mtoto wa nzi

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2012
Posts
10,017
Reaction score
18,537
Nimekulia Ubungo Maziwa, Yombo Vituka, Kiwalani Kijiwe samli, cheza sana. Kitintale chama la wahuni. Chafua sana Starlet Vituka, vuruga sana Flamingo Buza Machimbo. Manga'nizi camp Argentina FC, Malawi Zahanati, Staki shari, uwanja wa samaki, Mbagala. Tukahamia Tandale uwanja wa TP pale Mto wa ng'ombe.

Ubungo kisiwani kwa mzee Ndumbiko ndiyo alikuwa na bomba la maji wote tunachota kwake. Mara paap Goba kwa Komba Tangi bovu kanisa katoliki la kunguru. Kiselasela nikatoboa. Mtihani nikirudi mitaa niliyokulia. Wengi watu wa bwimbwi. Daah. Na siwezi kuwacheua wana. Poda/bwimbwi sio.
 
Heeeh kwani hii ni verse
Short experience bro .. Nilipopita acha tu.. Nkirudigi hiyo mitaaa daaah... Tumetoboa wachacheeee sanaaaa .... Angalia tu hiyo mitaaa ..hapo tunahamia TANDALE TP ndio inaitwa Sinza Vatican mpaka Daraja LA mto wa ng'ombe ... Unanyoosha kwenda Tandale kwa Ali Mapua
 
Huku hujafika...
Vida pala Vida camp mwananyamala
Uwanja wa fisi manzese
Lambo hotel tiptop
Beach camp mabibo
Uwanja wa sifa kwa Aziz Ally
Mburahati kwa watoto wa mbwa
Kigogo kwa komando yoso
Magomeni panya road
Kiboko msheli kinondoni
Jr[emoji769]
 
Magomeni mikumi kitambo na hicho kabla ya kutua mbagala charambe, wapi wanangu wa Ze big stone chama la wana, watoto wa majokeli waalikuwa hawafui dafu, foma na wanangu wa kwa mbiku, kama hujadiba mianzini basi we ulikuwa wakishua tu, wanangu wote saizi wapo sauzi kwa mafioso na chafu pozi bila kusahau ramafosa wanasukuma ngada kisingizio wanalima mashamba ya tufaa huko, waliobaki wote mafundi gereji na kubwia bwimbwi.
 
Mkuu umenikumbusha Kitintale, nilikaa uko kwa rafiki yangu muda wa wiki mbili maana tuna mishe tulitakiwa kuwahi mapema kuipiga pale Maziwa. Sijawahi ona sehemu inayotembelewa na pira kila mara kama ile. Yaani ni kawaida sana kwao wakati ukizingatia nimetokea sehemu ambayo tokea nikae sijawahi ona policeman, achana na defender nzima. Kuna manzi alikuwa akinisalimia kila siku, mara moja nikamwongelesha tukazoeana siku chache tu mara eti anataka nimuoe. Yaani kule hata madogo wa shule za msingi wana experience ngumu ya maisha.

Sent from my PBCM30 using Tapatalk
 
kitintale kwa mama sina vyombo[emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usela Mavvvi
 
umenikumbusha wakina mbala, moma , Deo maila wahuni wa Kibangu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
wahuni wa kintintale bwalo la manyani serekali za mitaa kwa siwale Akina kindamba
Sent using Jamii Forums mobile app

mtoto wa ubungo riverside wewe ?

mitaa ya makuburi na mitaa ya msewe enzi hizo ina wahuni wa matembo.. yaani kila muhuni jina lake la mwisho matembo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…