Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwenye Bongo Flavour musicKwa muda kiasi sasa nimekuwa nikisikia msemo wa 'Habari ndiyo hiyo'. Je huu ni msemo ambao upo sasa katika jamii ya Tanzania? Na kama ni hivyo chanzo chake ni nini? Natanguliza shukrani.
na leo naibu spika baada ya kumjibu zitto kabwe akamalizia na "habari ndo hiyo!"