Usemi uliovuma wa "China ni rafiki wa nchi za Afrika" ulipotelea wapi?

Usemi uliovuma wa "China ni rafiki wa nchi za Afrika" ulipotelea wapi?

R-K-O

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2023
Posts
482
Reaction score
2,178
Nakumbuka kuna kipindi hapo miaka si mingi iliyopita watu wengi walikuwa wanaisifia China ndio rafiki wa dhati wa nchi za Africa.

Mara ikawa kimya hasifiwi tena, ningependa kujua nini kilisababisha
 
Ukiangalia Afrika ilivyo na wananchi maskini utajua tu kwa nini ni maskini, yaani watu uwezo hata wa kufikiri ni mdogo sana. Yaani China ipi iwe rafiki wa Afrika...!!!
 
Back
Top Bottom