R-K-O JF-Expert Member Joined Jun 27, 2023 Posts 482 Reaction score 2,178 Aug 7, 2023 #1 Nakumbuka kuna kipindi hapo miaka si mingi iliyopita watu wengi walikuwa wanaisifia China ndio rafiki wa dhati wa nchi za Africa. Mara ikawa kimya hasifiwi tena, ningependa kujua nini kilisababisha
Nakumbuka kuna kipindi hapo miaka si mingi iliyopita watu wengi walikuwa wanaisifia China ndio rafiki wa dhati wa nchi za Africa. Mara ikawa kimya hasifiwi tena, ningependa kujua nini kilisababisha
Baba jayaron JF-Expert Member Joined Jun 29, 2015 Posts 4,324 Reaction score 5,933 Aug 7, 2023 #2 R-K-O said: Nakumbuka kuna kipindi hapo miaka si mingi iliyopita watu wengi walikuwa wanaisifia China ndio rafiki wa dhati wa nchi za Africa. Mara ikawa kimya hasifiwi tena, ningependa kujua nini kilisababisha Click to expand... Kwa bongo jamaa si alilala
R-K-O said: Nakumbuka kuna kipindi hapo miaka si mingi iliyopita watu wengi walikuwa wanaisifia China ndio rafiki wa dhati wa nchi za Africa. Mara ikawa kimya hasifiwi tena, ningependa kujua nini kilisababisha Click to expand... Kwa bongo jamaa si alilala
M Mcharo son JF-Expert Member Joined Mar 4, 2015 Posts 4,718 Reaction score 3,804 Aug 7, 2023 #3 R-K-O said: Nakumbuka kuna kipindi hapo miaka si mingi iliyopita watu wengi walikuwa wanaisifia China ndio rafiki wa dhati wa nchi za Africa. Mara ikawa kimya hasifiwi tena, ningependa kujua nini kilisababisha Click to expand... Hizo ni kelele za ccm kufuatia msaada wa kujengewa uwanja wa mpira. sasa hivi kuna wimbo mpya Dpw
R-K-O said: Nakumbuka kuna kipindi hapo miaka si mingi iliyopita watu wengi walikuwa wanaisifia China ndio rafiki wa dhati wa nchi za Africa. Mara ikawa kimya hasifiwi tena, ningependa kujua nini kilisababisha Click to expand... Hizo ni kelele za ccm kufuatia msaada wa kujengewa uwanja wa mpira. sasa hivi kuna wimbo mpya Dpw
Baba Mullhaty Member Joined Jun 26, 2023 Posts 22 Reaction score 31 Aug 7, 2023 #4 Huo urafiki ni wa aina gani na unatija gani
I Imeloa JF-Expert Member Joined Jan 28, 2013 Posts 14,885 Reaction score 18,083 Aug 9, 2023 #5 Ukiangalia Afrika ilivyo na wananchi maskini utajua tu kwa nini ni maskini, yaani watu uwezo hata wa kufikiri ni mdogo sana. Yaani China ipi iwe rafiki wa Afrika...!!!
Ukiangalia Afrika ilivyo na wananchi maskini utajua tu kwa nini ni maskini, yaani watu uwezo hata wa kufikiri ni mdogo sana. Yaani China ipi iwe rafiki wa Afrika...!!!
Ibilisi JF-Expert Member Joined Jul 12, 2017 Posts 3,465 Reaction score 5,578 Aug 10, 2023 #6 Kwa sasa wamerukia kwa Russia
Baba Mullhaty Member Joined Jun 26, 2023 Posts 22 Reaction score 31 Aug 10, 2023 #7 Yaani tunaletewa Bidhaa fake alifu tunapongeza urafiki kweli