Usemi wa leo. Ongezea na semi zako

Usemi wa leo. Ongezea na semi zako

Tuliza mtori nyama zipo chini.
Ukiona manyoya ujue kaliwa.
 
Safari asafiri mchaga,akisafiri mzaramo mnasema kaenda ngomani

Kunguru naye ndege ila habebi abiria
 
Back
Top Bottom