Deportivo la coruna
Senior Member
- Aug 16, 2021
- 162
- 270
Hamna haja ya kuwa vuguvugu
Mimi ni mtu wa bara lakini nakusapoti harakati zako.
Toa Mwigulu WEKA MZANZIBAR
Toa Padre IMMA WEKA MZENJI
Hakikisha unaisuka timu yako ambayo itabadlisha Katiba isiwe na ukomo wa kugombea, kama unahitaji tena unagombea isiwe ukomo miaka 10, nguvu hiyo unayo maana uzuri wa sisi watanzania majeshi yetu yote yanakusikiliza wewe haijalishi unachofanya ni kizuri au kibaya.
Andaa mazingira ya kutawala ufie madarakani maana ukitoka tu madarakani utaburuzwa sana kwa uliyoyafanya.
Wakati ndio huu
Ushakula ng'ombe mzima umebaki mkia.
Hakikisha viongozi wa juu wote wawe wa Zanzibar ikiwezekana ndugu zako wa karibu.
Kongole kwa Jeshi la Polisi kwa kumlinda daktari Samia, mara nyingine amani ya nchi ni muhimu kuliko chochote, bora kuilinda amani hata kwa kuua maelfu, rais ndio raia namba moja wa hii nchi endeleeni kumlinda kwa wivu mkubwa sana.
Bora hata wafe watu milion 1 wakibaki hao milioni 60 sio mbaya.