Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bora ww unatamani kwenye keyboard wenzako wanaenda airport kuwapokea na kuwajaza maneno ya uongo dhidi ya simbaDakika ya 44 yanga hawajapata bao nimejikuta natamani Sana yanga ifungwe moyo unaniuma kabisa nahisi Hii itakuwa roho ya kichawi kabisa