Eli Cohen
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 4,460
- 13,715
Yani mtu kafungwa tu jana....
"oooh kocha afukuzwe"
"Mpira una siasa tumefanyiwa siasa"
"Hii yanga ya sasa ikikutana na simba inafungwa 20"
Yani hapo na hapo mbongo kashasahau kuwa wameshashinda ligi mfululizo zaidi ya mara x2 , wamemfunga mpinzani mfululizo na wametoka kumfunga tu juzi hapa, mageuzi makubwa ya maendeleo ya klabu yao, etc
Mashabiki wa Man Utd wameteseka zaidi ya miaka 10 ila kila siku old trafford inajaa, ila mbongo ana taka stress zote za tabu ya maisha yake simba na yanga ndio wazimalize, ushamba huo.