Ushabiki wa Teams unaua vipaji na muziki wa Tanzania

TANMOJA

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2015
Posts
411
Reaction score
382
Kwenye kipindi hichi ambacho mziki unachukuliwa kama ajira kwa vijana na chanzo cha mapato. Watu wanafanya utani.

Kuna watu wamekua wanajituma na kufanya kazi nzuri na michango yao tunaiona kwenye sana kwa vigezo. Kipaji kinashindanishwa na kipaji.

Na sio kipaji kwa kupiga kura tu. Ni lazima kuwe na vigezo vingine ambavyo vina mashiko au kuwa na taarifa nzuri ya ubora wake kama kuuza nakala, miito, matamasha n.k. zaidi ya hapo tutaua mziki huu. T

unzo hizi ni muendelezo wa makosa. Nini kiboreshwe mdau.

 
Hapa ndio napata jibu do not underestimate the power of Wema Sepetu.. Huyu Muuza ni role model wa wauza wengi walioishia darasa la saba na form four failure ambao kimsingi hapa nchini ni kundi kubwa sana.. Tamko la Muuza wao mkuu lazima walisikilize na walitii.. Sio mwaka huu tu, hata mwaka jana Diamond hakustahili tuzo zote zile 7. Ila mama muuza mkuu alisimamia show..

Do not underestimate the power of Wema Sepetu.. Huyu dada akiamua hata kugombea Ubunge Jimbo lolote la Dar kwa chama chochote kile hata kama ni DP anaweza akawabwaga wapinzani wake kwa mbali sana.. Huyu Muuza ana kundi kubwa sana nyuma yake ambalo hata yeye akiamua kuwa positive na kulielimisha kundi hilo liache hizo tabia na kujikita kwenye uzalishaji mali, kilimo na biashara ndogo ndogo basi ataisaidia serikali kuongeza pato lake la Taifa.
 

huyo ndio aliyekushawishi umpigie kura ally kiba ?
 
huyo ndio aliyekushawishi umpigie kura ally kiba ?

Huwa sishawishiwi na watu duni kama hao na kura ninayopiga huku duniani ni moja tu ya kuchagua viongozi wa kisiasa..
 
Hahaaaaaa kwani mwaka Jana Dai alivochukua saba hizi timu hazikuua mziki. Naomba mleta mada unywe ukwaju ndo utaelewa vizuri.

Ata dai hakustaili zile tunzo zote....hofu yangu ni kwenye vigezo vya kupata washindi wanaostaili kupata tunzo. Kigezo cha kura ni kidogo sana.
 
Huyo anayekukaza anajua
 
Hahaaaaaa kwani mwaka Jana Dai alivochukua saba hizi timu hazikuua mziki. Naomba mleta mada unywe ukwaju ndo utaelewa vizuri.

Au alivyomshinda davido kwa kumfanyia mazengwe hadi fans wtz wakaanza mabifu na wanigeria hawakuona mziki wa afrika unakufa?mwanamziki mzuri ila watz wameamua kum reward 'kiba' sasa ivi
 
Belle Tisa kashaumizwa sana ila watu kimyaaa leo kapigwa ngumi ya pua fulani kelele kibao whats goes around comes around uyu mtoto wenu kapewa somo kwa vitendo kesho lazima atakua na heshima
 
Habari za muda wanajanv,kuna vitu ambavyo vinanifanya nifikirie mambo ambayo sina majibu ya kuyajibu zaidi ya kuona kama ni upungufu wa kufikiri, Watanzania ktk mambo mazuri waga tunapenda sana kubaki nyuma kwa namna moja ama nyingine,hatujabahatika kua na ikon ya Taifa zaidi ya msanii DIAMOND na Hayati JK NYERERE na huo ndio ukweli uliotukuka, Kila mtu anahaki ya kuchagua akipendacho kama Simba na Yanga,ila ikija ishu ya taifa star anacheza na nani basi wote ndani,,,sasa kwann kwa DIAMOND NA ALIKIBA?
Maana yake ALIKIBA wakimchagua BET team flani tupige majungu,DIAMOND wakimchagua BET basi team flan tupige majungu pia kumuangusha,kwann tunapenda kushabikia team ambazo hujui viwanja vyake wala benchi lake la ufundi???tusipende kufata mikumbo ya kijinga na maneno ya chuki kwamba namchukia flan,ukiulizwa kwann utasikiA mara ooh anaringa sana na kujisikia simpendi kweli mie,wakati hujawai kuonana nae ana kwa ana hata siku moja,izo ni roho za kichawi,unaweza usimpende lkn ktk simu,tab,ipad,computer yako haikosekanimo NANA OR CHEKETUA,sasa hapo humpendi vipi kama sio unaa????pia unaweza usimpende lkn % kubwa ya familia yako wanapenda hao wasanii,
Kwenye ishu ya kimataifa tupeane sapoti za kutosha bila majungu,ila zikija ishu za ndani kwa ndani basi wekeni ushabiki na izo team mchangani zenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…