TANMOJA
JF-Expert Member
- Jun 7, 2015
- 411
- 382
Kwenye kipindi hichi ambacho mziki unachukuliwa kama ajira kwa vijana na chanzo cha mapato. Watu wanafanya utani.
Kuna watu wamekua wanajituma na kufanya kazi nzuri na michango yao tunaiona kwenye sana kwa vigezo. Kipaji kinashindanishwa na kipaji.
Na sio kipaji kwa kupiga kura tu. Ni lazima kuwe na vigezo vingine ambavyo vina mashiko au kuwa na taarifa nzuri ya ubora wake kama kuuza nakala, miito, matamasha n.k. zaidi ya hapo tutaua mziki huu. T
unzo hizi ni muendelezo wa makosa. Nini kiboreshwe mdau.

Habari za muda wanajanv,kuna vitu ambavyo vinanifanya nifikirie mambo ambayo sina majibu ya kuyajibu zaidi ya kuona kama ni upungufu wa kufikiri, Watanzania ktk mambo mazuri waga tunapenda sana kubaki nyuma kwa namna moja ama nyingine,hatujabahatika kua na ikon ya Taifa zaidi ya msanii DIAMOND na Hayati JK NYERERE na huo ndio ukweli uliotukuka, Kila mtu anahaki ya kuchagua akipendacho kama Simba na Yanga,ila ikija ishu ya taifa star anacheza na nani basi wote ndani,,,sasa kwann kwa DIAMOND NA ALIKIBA?
Maana yake ALIKIBA wakimchagua BET team flani tupige majungu,DIAMOND wakimchagua BET basi team flan tupige majungu pia kumuangusha,kwann tunapenda kushabikia team ambazo hujui viwanja vyake wala benchi lake la ufundi???tusipende kufata mikumbo ya kijinga na maneno ya chuki kwamba namchukia flan,ukiulizwa kwann utasikiA mara ooh anaringa sana na kujisikia simpendi kweli mie,wakati hujawai kuonana nae ana kwa ana hata siku moja,izo ni roho za kichawi,unaweza usimpende lkn ktk simu,tab,ipad,computer yako haikosekanimo NANA OR CHEKETUA,sasa hapo humpendi vipi kama sio unaa????pia unaweza usimpende lkn % kubwa ya familia yako wanapenda hao wasanii,
Kwenye ishu ya kimataifa tupeane sapoti za kutosha bila majungu,ila zikija ishu za ndani kwa ndani basi wekeni ushabiki na izo team mchangani zenu