Ushabiki wa Teams unaua vipaji na muziki wa Tanzania

Ushabiki wa Teams unaua vipaji na muziki wa Tanzania

utalia sana na ukileta ujinga ni kuchambwa tu hakuna wa kukuamua maana hakuna namna shwain.....

ata- hata

calm down huna haja ya kupanic pata glass ya maji afu soma tena na tena
hapo kwenye shobo za wanaume ndo hapoooo nilipo unalia lia sana "ukichambwa wanaume hawaamui" nakuuliza kuna marefa humu? Kuna mwanaume anakutuma uchambane atakusaidia? Watu wapo na time zao kuondoa stress we nae unalilia kusaidiwa ha ha ha jisaidie mwenyewe huko, sasa kama huna wa kuchamba unalia nini yani umnalalamika kama umekopwa vile acha utoto

Wewe bwabwaja apa kama vile uji wa ulezi unaotokota jikoni. Nisome? Sisomagi mashudu shule zenyew hamjaenda nisome nini?
Hamna mtu anayeweza kuniamua mimi coz hamna awezae nichamba mimi adi niombe msaada.
Wew jobles endelea kubwabwaja apa acha wengine tufanye kazi sasa uje unikope hela ya lotion sio unapauka kama kisafuru.
Naheshimu uwepo wa bani la sivyo ungeelewa leo.
Kwa heri sina tym na mjinga baki na ujinga wako
 
Demu wako akisema team flani si shangani ila mwanaume unaye di.ndi.sha. unakomaa we sijui team diamondi au alikiba au wema una akili wewe? Na wasiwasi na uwanaume wako mmefanya tuzo za music ziharibike ma.pu.nga. nyie sasa ivi mnashindwa ku msupport mtanzania mwenzenu uko nje kimuziki mnakomaa kupigia wasio wa TZ kisa wewe team use.nge. mavi nyie
 
Wewe bwabwaja apa kama vile uji wa ulezi unaotokota jikoni. Nisome? Sisomagi mashudu shule zenyew hamjaenda nisome nini?
Hamna mtu anayeweza kuniamua mimi coz hamna awezae nichamba mimi adi niombe msaada.
Wew jobles endelea kubwabwaja apa acha wengine tufanye kazi sasa uje unikope hela ya lotion sio unapauka kama kisafuru.
Naheshimu uwepo wa bani la sivyo ungeelewa leo.
Kwa heri sina tym na mjinga baki na ujinga wako

Acha kuisingizia ban..., unafanya kazi we ni muhaya
apa- hapa
adi - hadi
Kama shule yenyewe ndo hii hiyo hela usingichezea bora ungeweka zako gambe
 
Nikiwa nnje ya tanzania sinta thubutu kuzungumzia muziki maana huu ujinga wenzetu wanaweka matangazo free kwenye television zao za taifa kuhamasishana wampigie kula mtu wao sisi uku et timeee achenii uuumburuuuula
 
Ha ha ha ukienda nje ya nchi wasalimie sana bro, usitusahau zawadi
 
Back
Top Bottom