Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Naunga mkono hojaTimu haina Aucho, haina Diarra, haina Aziz Ki, haina Morrison, haina Feitoto, haina Juma Shaaban, kocha Nabi hakuwepo na bado imemkafini Mazembe kwao.
Hata kama Mazembe ni wabovu lakn bado Yanga ni timu imara sana.They are very strong, very strong.
Sisi Simba tuendelee kula hela za Mo Dewji halaf tuwasajili akina Sawadogo tena. BUT kama yanga itakosa kwenda fainal itakuwa ni bahati mbaya t lkn wamekamilika kila idara.
In a nutshell, wako serious mno.Mno, mno, mno.
Hongereni sana.
Huo mkono si bora ungeutumia kuunga mbogaNaunga mkono hoja
Wenzako wameacha tabia ya kutuchukulia poa!Huo mkono si bora ungeutumia kuunga mboga
Labda losers wenzakoWenzako wameacha tabia ya kutuchukulia poa!
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Ushabiki maandazi utakutesa sana takwimu jaziongopi mkuuYani umesha admit kuwa Tp Mazembe ni wabovu still unawapa hope ya kufika mbali, means wawe na muendelezo wa kukutana na wabovu wa namna hiyo
Sisi wengine tulisha tabiri uwezekano wa Uto kupata pointi 3 huko Kongo, wala sio jambo la kustua kuona wameshinda
Uto haijakutana na upinzani mkubwa wa kutisha mpaka uanze kuwa picture katika level za juu wakati washindani wake wote almost ni weak.
Simba amepita kwenye mabonde na majabali amejitengenezea ufalme wake kwa kupambana na miamba mikubwa, Simba ni role model wa Uto.
Uto kila akifikiria mafanikio makubwa kimataifa basi sehemu ya kwanza kutazamia ni kumuangalia Simba anafanyaje fanyaje mpaka inawezekana.
Leta hapa takwimu tuzipime msiishie kuandika takwimu tu halafu hatuzioniUshabiki maandazi utakutesa sana takwimu jaziongopi mkuu
Kwanza unajua mafanikio ya Simba ni yapi kimataifa?Japo mm Simba,ki uhalisia umeongea fact