Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Timu haina Aucho, haina Diarra, haina Aziz Ki, haina Morrison, haina Feitoto, haina Juma Shaaban, kocha Nabi hakuwepo na bado imemkafini Mazembe kwao.
Hata kama Mazembe ni wabovu lakn bado Yanga ni timu imara sana.They are very strong, very strong.
Sisi Simba tuendelee kula hela za Mo Dewji halaf tuwasajili akina Sawadogo tena. BUT kama yanga itakosa kwenda fainal itakuwa ni bahati mbaya t lkn wamekamilika kila idara.
In a nutshell, wako serious mno.Mno, mno, mno.
Hongereni sana.