DAVID PALMER
JF-Expert Member
- Jan 19, 2020
- 318
- 1,597
Ukiwa umelala labda kitandani ila kichwa umeelekeza ambako kuna slope ya kushuka. Yaan kichwa kinakua chini kidogo kulinganisha na miguu, basi unaota ndoto za kutisha tu. Hilo nmeliona si mara 1 wala si mara 2.