Ushafanya hii?

Ushafanya hii?

RRONDO

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2010
Posts
55,727
Reaction score
123,094
Hii style classic ya kunywa soda, unatumbukiza karanga kwenye chupa.

IMG_20191018_171205.jpg
 
Demu wangu bado anafanya hivyo au anavunjia huko biscuit za ''Eat sum more''

Sasa sijui ni utoto, kudeka, ushamba au swaga tu na style yake aliyochagua.
Biskuti noma
 
Nimeona hiyo pepsi udenda umenitoka

Kwa bahati mbaya saiz ni usiku kwa mangi pamefungwa
 
Back
Top Bottom