Ushahid: TP Mazembe wanakuja full squad tarehe 19 hadi mfagia choo

nzagambadume

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2018
Posts
2,430
Reaction score
5,779
Simba walibaki na option 4 kuuu ,Horoya, mamelodi, al hilal, al ahly nTp mazembe

Baada ya hao jamaa wa congo(MABINGWA MARA TANO AFRICA) kutangazwa kumezuka maneno ya MAMA J FC kwamba mazembe siyo kitu yaani zanaco ya KAPUMBU ni kali kuliko hao jamaa yakazuka mengine kamba tarehe 19 wana mechi ya ligi hukokwao

Jamani Barbra siyo Senzo aliyeshindwa kuandaa kambi Morocco hata kupata International transfers za wachezaji,simba iko makini sana halafu mazembe wako nafsi ya 7 kwa ubora africa ,zanaco ya 30,simba ya 14 mliepelekeshwa na zanaco mkachanganyikiwa sana sisi hata team numero uno ya africa walituogopa wakidhani sisi ni majini

HAPO SITAKI MANGESE YALIYOKO NAMBA 74 NYUMA YA NAMUNGO ILIYOKO NAMBA 60

HAPA CHINI NI RATIBA YA LIGI YA CONGO, TAREHE 19 MAZEMBE WANAKUJA KAMILI HADI MFAGIAJI WAO ANAKUJA

Wale wanaosema Simba day hatokuwa kisa TP MAZEMBE watakuwa na mchezo. Ni uongo hii hapa ndo calendar ya ligi ya Congo. Tafuta tarehe 19 hapo. MAZEMBE ina match tarehe 15 na tatehe 03.

Liboro FC HAMUIITI!?
 
Tp Mazembe awawezi kuleta full squad kwenye mechi ya kirafiki katikati ya msimu ni mbumbumbu pekee watakapo amini ilo. Kitakacho fanyika nikuchukua wachezaji wa Timu ya pili na wale wasiopata nafasi kwenye timu ya Kwanza ili waje kucheza. Iyo inatokana na kuwa wamesha chukua fedha ya Bwanyenye.
 
Hivi ratiba ya Congo inasomwa vipi? Maana naona kabla ya mechi ya tarehe 3 ya mwezi kumi kuna mechi ya tarehe 26 mwezi wa tisa ikimuhusisha TP Mazembe. Au sijui kutafsiri ratiba ki Congo?
 
msimu gani uko katikati? unajua maana ya katikati?
 
msimu gani uko katikati? unajua maana ya katikati?
We jamaa kweli kilaza, yaani una amini timu imesha anza kucheza ligi alafu ikatoa wachezaji wake Muhimu waje Tanzania kucheza mechi ya kirafiki!! Iyo maana yake wataleta wachezaji ambao awana kipaumbele katikamatumizi yao.
 
Tumekusikia msemaji mkuu wa Mazembe ya jangwani
 
We jamaa kweli kilaza, yaani una amini timu imesha anza kucheza ligi alafu ikatoa wachezaji wake Muhimu waje Tanzania kucheza mechi ya kirafiki!! Iyo maana yake wataleta wachezaji ambao awana kipaumbele katikamatumizi yao.
tulia kama unanyolewa barbra siyo senzo, nyie shughulikeni na kiwanja chenu avic town chenye 40 mitazi na ITC . watoto wa little
 
ata tukicheza na manyema fc muhimu tupate burudani
 
We jamaa kweli kilaza, yaani una amini timu imesha anza kucheza ligi alafu ikatoa wachezaji wake Muhimu waje Tanzania kucheza mechi ya kirafiki!! Iyo maana yake wataleta wachezaji ambao awana kipaumbele katikamatumizi yao.
TP Mazembe wataleta full kikosi, na watatumia mechi hiyo kuiandaa timu na ligi ya mabingwa Africa
 
Hahahahah yaan timu icheze tar 8/9/21 kisha ichezs tena tar 03/10/21 kisha arudi tena acheze tar 26/09/21??? Uliyepost una akili kichwani??
 
Hahahahah yaan timu icheze tar 8/9/21 kisha ichezs tena tar 03/10/21 kisha arudi tena acheze tar 26/09/21??? Uliyepost una akili kichwani??
mkuu ITC mmemaliza ??? au mnahangaika na nguruwe lenu?lenye ulemavu wa akili na mwili?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…