Ushahid: TP Mazembe wanakuja full squad tarehe 19 hadi mfagia choo

Ushahid: TP Mazembe wanakuja full squad tarehe 19 hadi mfagia choo

Vyura FC [emoji196][emoji196][emoji196]wamepoteana
Nalog off
Sijui kwa nini naona udugu wa damu baina ya Vyura FC na Chama Chakavu!!!
Utapeli wote wanao.
Ukilaza wote wanao.
Ushirikina wote wanao.
 
Hao Simba wa congo DRC mbona hawatoboi kama wenzao wa huku Tanzania.

Tuwafutie hilo jina.
 
Hili kolosenge kweli hili hiyo ratiba haieleweki isomeni hili jamaa ni sengerema aisee
Halafu Linasema walikuwa na options nne kwann wasichukue mamelod au Al ahily ni nn kimewasibu kuwaacha hao maana ndo walikuwa wanatamba wataleta hao. Matokeo yake wanaleta timu B ya TP Mazembe. Makolosenge FC bhana kweli ni mambumbu.
 
Tp Mazembe awawezi kuleta full squad kwenye mechi ya kirafiki katikati ya msimu ni mbumbumbu pekee watakapo amini ilo. Kitakacho fanyika nikuchukua wachezaji wa Timu ya pili na wale wasiopata nafasi kwenye timu ya Kwanza ili waje kucheza. Iyo inatokana na kuwa wamesha chukua fedha ya Bwanyenye.
Akina Ramadhan Singano
 
Back
Top Bottom