Tp Mazembe awawezi kuleta full squad kwenye mechi ya kirafiki katikati ya msimu ni mbumbumbu pekee watakapo amini ilo. Kitakacho fanyika nikuchukua wachezaji wa Timu ya pili na wale wasiopata nafasi kwenye timu ya Kwanza ili waje kucheza. Iyo inatokana na kuwa wamesha chukua fedha ya Bwanyenye.