Ushahidi : Diamond alikuwa inspired na Mr. Blue

Ushahidi : Diamond alikuwa inspired na Mr. Blue

Maisha safari ndefu one step forward imemfikisha hapa leo big up sana mondi
 
MI MTU AKILETA BEFORE ZA DIAMOND NDO AMSZIDI NIFANYA NIMHESHIMU HUYU MTOTO!!!


huwa nawaza kama ameweza tokea HUKI akafika alipo NAACHAJE KUMHESHIMU NA KUMPEMDA KIUKWELI ,HE IS SOMETHING ELSE!!

halaaaafu NAJIULIZA WANAOSHANGAA MAISHA YAKE NOW,kama hii Nakuwa na hela wala JINA na bado aliweza KUTENGENEZA kitu kama hiki,Naangalia atakuwa alitumia video kamerao gani,director SIJUI alikuwa rommy jones
NA BADO AKAWEZA TOA HIKI KITU!!


LEO AKIWA NA VYOTE ALIVYONAVYO MNATEGEMEA ATAISHI MAISHA STANDARDS ZIPI??


acha SHIGONGO ATANUE MISULI YA VIDOLE KUTYPE !!!
naseeb kanyagia hapo hapoooooo !!KWANZA ONGEZA!
 
Hapa mbona alikua kadevelope ngoja nitafute moja alikua anachana kama Kalapina.
 

daaah Mondi katoka mbali sana aisee

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]


Halafu alipo fika kwa sasa kuna vijitu vinatumia nguvu ili wamshushe

Mungu ampiganie kwa kweli maaana bwana mdogo ame haso sana
 
hahahahaaaaaaa nimecheka sana haieleweki ata ka alikuwa anaimba,anaongea ama anachana
dah i salute yu
 
Hii imenifanya nimuheshimu zaidi !japo wengi humu mnaiangalia kiupondaji mimi naona jamaa yuko vyema na kachakarika ana deserve raha na kujidai kote anakohusishwa nako!
 
Ha ha ha enzi hzo naona Rommy alikuwa staa kuliko chibu
 
Huyo video queen sio yule mtangazaji wa Star TV, somebody Shimweta?
I hope unamaanisha huyo aliyemshirikisha... ni mdogo wake Hard Man huyo; alikuwa anajua sana; sijui kwanini hakukaza kwenye muziki! Labda utakuwa unaikumbuka hii:

 
Back
Top Bottom