Ushahidi: Hakuna mshabiki wa Simba SC mwenye uhakika kuwa timu yao inaweza kuwa bingwa 2016/17

Ni ujinga kudhani mechi zingine simba itacheza bila beki tegemeo. Katu yanga ya sasa haiwezi kuifunga Azam.
 
Kama simba isipochukua ubingwa mwaka huu nitoeni jf.kwa mwaka mzima
 
Mipango yote ya Simba ni kumfunga Yanga.
Mipango ya Yanga ni kuchukua ndoo ya VPL.
Ndiyo tofauti ya timu hizi
 
Hivi unajua matokeo Yenu na Mtibwa Leo Yametokaje? Endelea tena Kuchonga na Simba....
 
Mkuu hao Mtibwa usiwahesabie kabisa.........labda azam fc.....

hata hao azam fc hawawezi kutuotea kwa mara nyingine.....ikiwa wao hawana cha kugombania kwenye ligi.

kiujumla sioni changamoto yeyote mbele yetu...
Mtani ongea tena matokeo ya mtibwa umeyaona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…