Ushahidi: Hakuna mshabiki wa Simba SC mwenye uhakika kuwa timu yao inaweza kuwa bingwa 2016/17

Ushahidi: Hakuna mshabiki wa Simba SC mwenye uhakika kuwa timu yao inaweza kuwa bingwa 2016/17

Ni ujinga kudhani mechi zingine simba itacheza bila beki tegemeo. Katu yanga ya sasa haiwezi kuifunga Azam.
 
Kama simba isipochukua ubingwa mwaka huu nitoeni jf.kwa mwaka mzima
 
Ni tofauti sana na Mashabiki wa Yanga SC,

Mashabiki wa Matopeni imegundulika kuwa (Kulingana na tafiti zisizo rasmi) hawana uhakika wa zaidi ya Asilimia 50% kuwa Klabu yao inaweza kuwa Bingwa msimu wa 2016/17.

Tulidhani kuwa ni sisi tu mashabiki wa Yanga ambao tunadhani hivyo. Kumbe hata wao wanalijua hilo. Ukikutana na Mashabiki wa matopeni , machoni mwao wanaonyesha tofauti na kile kilicho ndani ya mioyo yao.

[L]HIZI NI BAADHI YA KOMENTI ZAO AMBAZO KISAIKOLOJIA ZINAAKISI KILE KISEMWACHO KWENYE KICHWA CHA UZI HUU[/L]:-

"Tatizo wachezaji wetu kumfunga yanga tu, wameshajiona mabingwa.. Tukiendelea hv ubingwa tutausikia tu na kuuota,.. Pia Viongozi maneno ya kujigamba yamezidi kimya saa nyingine ni busara."

"Dah kwaio inamaana hawa wapinzani kesho wakishinda tutakua sawa pointi sisi na wao mmh,,wachezaji ndugu ss tunaumia zaidi hebu jipindeni kwa dhati na mjidhatiti angalau na sie msimu huu tu ngurume simba"

" Mavugo sio kaliba ya mchezaji wa kuichezea simba... tunadanganyana tu..."

" Tatizo viongozi mnajisahau sana,mnazipa uzito baadhi ya mechi na nyingine mnazichukulia kawaida, hatutafikia malengo kwa staili hii."

" Nilijua gem lazima itakua ngumu simba tulipania sana mpaka tukatoka mchezoni"

" wala hatujafanya vibaya,haya ni matokeo ambayo viwanjani yapo.(TUANGALIE MECHI 6 ZIJAZO)."

"Mnajua nyie viongoz na bench la ufundi mnazigua kwa nn unafanya mzaha kwenye kikosi mnajua beki hakuna alafu mzingua toeni mtu hapo weka juko"

"Dah angalau maana hapa nilikua sina roho,ila ingawa tumegawa point ckm kupoteza kbsa cha msingi tuwaombee vjna wetu waweze kutupa ushindi mechi zilizo mbele yetu"

" Yani afadhali kutoa salekuliko kufugwa tumshukulu mungu kwayote kidogo tutakua na amani maana jamaazetu walishaaza kuchonga".

-Hawa Jamaa wanao jiita Mabingwa watarajiwa wa VPL msimu wa 2016/17 wana kazi kubwa sana. Licha ya kumfunga Yanga SC bado uko naye sawa ki alama.

-Bado hawajacheza na Africa Lyon, ToTo Africa, Mbao (huko kanda ya ziwa). Tuseme ukweli tu, sioni wakifika mahala popote.

Najua ukweli wanaujua ila ni vigumu sana kuuonyesha mbele ya watani zao Yanga SC.


View attachment 476751
Mipango yote ya Simba ni kumfunga Yanga.
Mipango ya Yanga ni kuchukua ndoo ya VPL.
Ndiyo tofauti ya timu hizi
 
Hivi unajua matokeo Yenu na Mtibwa Leo Yametokaje? Endelea tena Kuchonga na Simba....
 
Mkuu hao Mtibwa usiwahesabie kabisa.........labda azam fc.....

hata hao azam fc hawawezi kutuotea kwa mara nyingine.....ikiwa wao hawana cha kugombania kwenye ligi.

kiujumla sioni changamoto yeyote mbele yetu...
Mtani ongea tena matokeo ya mtibwa umeyaona
 
Back
Top Bottom