Umeandika upuuzi kweli.
Unasema Chadema kuna rushwa ya ngono unakilaumu chama wakati mwenye uamuzi wa mwisho wa mtu kutoa mwili wake ni mtu mwenyewe, au unataka Chadema wasimamie mpaka miili ya viongozi wake!. upuuzi mtupu.
Kuhusu ukabila; unathibitisha kuwepo ukabila Chadema kwasababu ya uwepo wa Mbowe na Lema that's all!, wale kina Sugu, Msigwa, Matiko, Heche wao vipi?! nao ni wachaga? unasema Lema ana kiherehere, what is kiherehere by the way? unataka awe amezubaa ndio ufurahi!.
upuuzi mwingine.
Nikwambie kitu wewe raia, hakuna yeyote aliyestaarabika huwa anajadili privacy za watu, ukitaka uheshimiwe siku nyingine, ukija na hoja njoo nayo kam ilivyo, usichanganye na mambo ya watu binafsi, ukitaka kuleta ujinga wako, ujue hata huko CCM hampo salama.
Sent using
Jamii Forums mobile app