Ushahidi huu hapa CHADEMA kuhusishwa na rushwa za ngono.

Status
Not open for further replies.
Ni Kujitakia Tu Kikwete pia alimlazimisha Vicky Kamata Na Amina Chifupa? Au Jiwe Kamlazimisha Kairuki Na Joketi? wanawake wanajidharirisha tu kwa tamaa zao hii sio chadema hata kwenye ajira na vuoni.
Vipi kuhusu bulaya na mdee ndoa yao imehalalishwa!
 
Nashangaa sana serikali yangu hadi Leo hii bado kuna chama kinachoitwa CHADEMA, hiki chama kilipaswa kufutwa kabisa,nchi haiwezi kuruhusu kuwa na chama cha wahuni wahuni kwa mgongo wa chama cha siasa

Sent using Jamii Forums mobile app

Naona list ya chama cha wazee mmejazwa humu mitandaoni toka aprili kwa kazi maalumu ya kuishambulia cdm, kumsifu jiwe na kuivika kilemba cha ukoka NCCR mageuzi. Kwa bahati mbaya mnakamia kila post ila hamna hoja.
 
Naona list ya chama cha wazee mmejazwa humu mitandaoni toka aprili kwa kazi maalumu ya kuishambulia cdm, kumsifu jiwe na kuivika kilemba cha ukoka NCCR mageuzi. Kwa bahati mbaya mnakamia kila post ila hamna hoja.
Mkuu hoja ipo Maana haya yananenwa na watu kutoka upande wenu, na mashuhuda ni wafuasi wenu,wamechoka kupingwa miti na Mbowe kwa kulaghaiwa mandaraka,

Kwa hili nadhani Mbowe anakoswa mamraka ya kukalia kitu cha uenyekiti na anapaswa Kustep down kwa skendo kama hii

Mbowe the great- great adulterer must step down

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Haya mambo kila ukikaribia uchaguzi huzuka kwa kasi sana..

Na mlengwa hapa ni Freeman A. Mbowe tu, si mwingine....

Wanasema;

"....piga mchungaji wa kondoo na kundi lote litatawanyika....."

Mbowe ni Mchungaji mkuu wa Kundi linaloitwa CHADEMA. Sasa fisi na mbweha na simba wanalitaka Kundi hili, wanataka kula kondoo. Bahati njema mchungaji wake yuko imara...

Sasa, yote haya lengo lake ni "kumpiga mchungaji" kwa namna na mbinu zote halali na chafu ili adhoofike na kisha Kundi lote litawanyike na kuishia mikononi mwa mbweha, mafisi na simba aitwaye CCM....

Lakini imeandikwa pia;

"....Mchungaji mwema huwajali na anakuwa tayari hata kufa kwa ajili ya kondoo wake...."

MH. FREEMAN .A. MBOWE, simama imara, chunga Kundi la kondoo zako. Hizi ngurumo za simba na mbweha na mafisi hata, yasikutishe. Ni ngurumo tu, lakini hawana meno ya kuuma....!!
 

Kuna chama au taasisi yoyote wanawake hawapigwi miti? Wanaume wazima mnaongelea matendo ya ngono ambayo yako mpaka kwa mapadre? Kama sio lile kundi la jiwe la watu wasiojulikana, watu wakiamua kuweka ukweli hadharani jf itafungwa.
 
Mkuu ungevua tu na wewe Kama rahisi hivyo
 
USHUZI NA UZUSHI UMEANDIKA
 
Kuna mdada yupo Ofisi za Chadema za Kanda hapa Mwanza amegawa uroda kwa viongozi wa juu Chadema ili apate nafasi hadi ndoa yake ikavunjika. Ushahidi dhahiri shahiri ninao!
 
Chadema Ni Kama danguro fulani hivi
Hakiishindi ccm kwani mwenyekiti wenu fundi kwelikweli wa kutembeza mhogo hasa kwa wateule wake! Hivi yule mteule cheupedawa mbona hasikiki? Wapi kidoti? Huko hamuoni mnabaki kuichungulia cdm!
 
Samahani sijui bro au sista naomba nikuulize nje ya mada kidogo, umesema ulipokuwa university, wewe umemaliza university?
 
Huu siyo ushahidi...kuleta ushahidi au maelezo ya aina hii ni kujishushia hadhi...
 
Rushwa iko kila mahali Kuanzia makazini, mashuleni, vyuoni, kwenye michezo, hadi huko kwa wazee wa mboga mboga ipo

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…