Nilivyosoma heading ushahidi huu hapa nikafungua uzi chap haraka mweeh nakutana na porojo tu za mtoa mada maneno mengi weka hata kapicha au kaclip kama kile cha ngwajiboy basi
kafulila ana akili sana..akaona anataka adhalilishwe yeye binafsi pamoja na mkewe..basi akaamua kusepa zake kupunguza aibu!!!. Very clever guy..namkubali