Ushahidi huu, Simba hawakuwahi kufanyiwa vurugu popote mechi ya Dabi

Kichuchunge

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2020
Posts
425
Reaction score
1,027
Ukitazama video hiyo hapo chini, hakuna mahali popote Simba walipofaniwa vurugu kabla ya mechi ya Dabi zaidi ya kuzuiwa tu kuingia uwanjani. Hakuna mtu aliyesukumwa, hakuna mtu aliyepigwa ngumi, hakuna mtu aliyepigwa hata kibao na wala hakuna jiwe lililorushwa labda likavunja kioo. Isitoshe watu waliowazuia hakuna ushahidi kama walikuwa ni wa Yanga maana hawakuvaa hata angalau jezi.

View: https://youtu.be/JgYtPs13nUA
 
Vipi kwenye video umeona mbuzi au wazee wafupi?
 
Polisi haswa aliyefunzwa na akahitimu mafunzo yake na kupewa dhamana na nchi ya kulinda raia na mali zao eti aje amuogope sijui baunsa wa yanga Mmmmmmm!!! mbona ngumu sana hii kueleweka, semeni tu kolo mlichungulia mkaona bango lingine lileee linawekwa pale Tegeta kibaoni la 6-0 mkaona isiwe shida mkala nyoya
 
Sema tu siku ile watu walienda kutafuta kisingizio cha kukimbia derby. Yaani mpaka mwisho, siamini kama hii ndiyo ilikuwa ni sababu ya msingi.
 
Kwa hiyo wewe unajua zaidi ya meneja wa uwanja, afisa usalama wa bodi ya ligi, video za ushahidi walizonazo Simba.
Chukueni huo ushahidi mpeleke CAs maana hivyo vijarida vyenu vinawadanganya sana
 
Tuleteeni ushahidi zaidi ya huu
 
Kwa hiyo wewe unajua zaidi ya meneja wa uwanja, afisa usalama wa bodi ya ligi, video za ushahidi walizonazo Simba.
Chukueni huo ushahidi mpeleke CAs maana hivyo vijarida vyenu vinawadanganya sana
Hiyo video ingekuwa ipo tungeshuhudia wahusika waliofanya hizo fujo kuchukuliwa hatua ila inaenda wiki ya tatu sasa
 
Kwa hiyo wewe unajua zaidi ya meneja wa uwanja, afisa usalama wa bodi ya ligi, video za ushahidi walizonazo Simba.
Chukueni huo ushahidi mpeleke CAs maana hivyo vijarida vyenu vinawadanganya sana
Hakuna video yoyote nyingine mlizonazo zenye ushahidi wa vurugu.
Kwanza no aibu sana watu wazima kutunga story eti mmefanyiwa vurugu.
Ndio maana TFF na bodi ya ligi wanaangaika kuwabembeleza Yanga eti wasiende CAS.
 
Wamezuiwa kuingia uwanjani hii ndio issue kubwa
 
Hakuna sehem yyt Simba wamesema wamefanyiwa vurugu ! Simba walizuiliwa kuingia uwanjani ! Meneja wa uwanja kamishna wa mchezo wakasema hawana taarifa
 
Back
Top Bottom