Kichuchunge
JF-Expert Member
- Dec 2, 2020
- 425
- 1,027
Ukitazama video hiyo hapo chini, hakuna mahali popote Simba walipofaniwa vurugu kabla ya mechi ya Dabi zaidi ya kuzuiwa tu kuingia uwanjani. Hakuna mtu aliyesukumwa, hakuna mtu aliyepigwa ngumi, hakuna mtu aliyepigwa hata kibao na wala hakuna jiwe lililorushwa labda likavunja kioo. Isitoshe watu waliowazuia hakuna ushahidi kama walikuwa ni wa Yanga maana hawakuvaa hata angalau jezi.
View: https://youtu.be/JgYtPs13nUA

Vipi kwenye video umeona mbuzi au wazee wafupi?Ukitazama video hiyo hapo chini, hakuna mahali popote Simba walipofaniwa vurugu kabla ya mechi ya Dabi zaidi ya kuzuiwa tu kuingia uwanjani. Hakuna mtu aliyesukumwa, hakuna mtu aliyepigwa ngumi, hakuna mtu aliyepigwa hata kibao na wala hakuna jiwe lililorushwa labda likavunja kioo. Isitoshe watu waliowazuia hakuna ushahidi kama walikuwa ni wa Yanga maana hawakuvaa hata angalau jezi.
View: https://youtu.be/JgYtPs13nUA
Tunazungumzia vurugu Simba walizodai kufanyiwa. Hilo suala la mbuzi au wazee wafupi ni wapi limeripotiwa kama si tetesi tu?Vipi kwenye video umeona mbuzi au wazee wafupi?
Leo mnasema tetesi, kweli njia ya muongo ni fupi mnoTunazungumzia vurugu Simba walizodai kufanyiwa. Hilo suala la mbuzi au wazee wafupi ni wapi limeripotiwa kama si tetesi tu?
Vurugu ni ngumi, ugomvi, kurushiana mawe, chupa kukatana visu na vitu kama hivyo, huo hapo juu ni mzozo tuKwako vurugu ni nini?
Sahihi kabisa walitafuta chaka la kujifichaSema tu siku ile watu walienda kutafuta kisingizio cha kukimbia derby. Yaani mpaka mwisho, siamini kama hii ndiyo ilikuwa ni sababu ya msingi.
Tuleteeni ushahidi zaidi ya huuKwa hiyo wewe unajua zaidi ya meneja wa uwanja, afisa usalama wa bodi ya ligi, video za ushahidi walizonazo Simba.
Chukueni huo ushahidi mpeleke CAs maana hivyo vijarida vyenu vinawadanganya sana
Hiyo video ingekuwa ipo tungeshuhudia wahusika waliofanya hizo fujo kuchukuliwa hatua ila inaenda wiki ya tatu sasaKwa hiyo wewe unajua zaidi ya meneja wa uwanja, afisa usalama wa bodi ya ligi, video za ushahidi walizonazo Simba.
Chukueni huo ushahidi mpeleke CAs maana hivyo vijarida vyenu vinawadanganya sana
Hakuna video yoyote nyingine mlizonazo zenye ushahidi wa vurugu.Kwa hiyo wewe unajua zaidi ya meneja wa uwanja, afisa usalama wa bodi ya ligi, video za ushahidi walizonazo Simba.
Chukueni huo ushahidi mpeleke CAs maana hivyo vijarida vyenu vinawadanganya sana
Wamezuiwa kuingia uwanjani hii ndio issue kubwaHakuna video yoyote nyingine mlizonazo zenye ushahidi wa vurugu.
Kwanza no aibu sana watu wazima kutunga story eti mmefanyiwa vurugu.
Ndio maana TFF na bodi ya ligi wanaangaika kuwabembeleza Yanga eti wasiende CAS.