M MasterGamaliel JF-Expert Member Joined Jul 29, 2015 Posts 999 Reaction score 1,094 Mar 26, 2025 #21 Kichuchunge said: Tuleteeni ushahidi zaidi ya huu Click to expand... Ukitazama video hiyo hapo chini, hakuna mahali popote Simba walipofaniwa vurugu kabla ya mechi ya Dabi zaidi ya kuzuiwa tu kuingia uwanjani. Wewe pia ni shahidi hapo.
Kichuchunge said: Tuleteeni ushahidi zaidi ya huu Click to expand... Ukitazama video hiyo hapo chini, hakuna mahali popote Simba walipofaniwa vurugu kabla ya mechi ya Dabi zaidi ya kuzuiwa tu kuingia uwanjani. Wewe pia ni shahidi hapo.