Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inatia aibu sana kuona mambo kama haya wao kwa siku wanatumia zaidi ya 40kKitu cha kushangaza ni kuwa posho ya dereva na mhasibu anayesafirisha hizo fedha jumlisha mafuta ya gari ni nyingi kuzidi fedha watakayolipwa wanakijiji wote wanufaika!
Ujue mkuu kuna mahali unakosea sawaNimejaribu sana kusikiliza, nikiri nimeusikiliza kwa shida. Sauti ipo chini ya wenye ubora hafifu.
Lakini, kwanza wewe na mnufaika mnapaswa kufahamu TASAF ni mpango wa Serikali kunusuru kaya masikini.
Nilishakupa mchanganuo unavyopaswa kuwa. Hela hulipwa baada ya miezi miwili. Na mnufaika asiye na Wategemezi hulipwa kiasi cha Tsh 24,000 kwa miezi hiyo miwili. Mtoto wa Sekondari hulipiwa 8,000 na Msingi pia wana hela yao.
Kila kaya ina kiasi kulingana na idadi ya Wategemezi waliokidhi sifa. Wapo wanaolipwa mpaka laki mbili.
Serikali haitoi hiyo fedha kwa ajili ya kukidhi mahitaji. Wanapaswa kupata wale wa umaskini wa Kutupa. Mlengwa pia hapaswi kuutegemea kama ndiyo hela ya kuendeshea maisha yake. Bali kumboost tu sehemu ndogo.
Huo ni Utaratibu Mkuu. Wewe unashangaa Elfu arobaini? Wapo wanaolipwa 24,000.Ujue mkuu kuna mahali unakosea sawa
Kwahiyo unahisi uyo mtu kapangwa?
Kwahiyo unaweza. Nusuru kaya masikini kwa 40000?
Sasa mbona ulikuwa unakataa kuwa TASAF ailipi iyo helaHuo ni Utaratibu Mkuu. Wewe unashangaa Elfu arobaini? Wapo wanaolipwa 24,000.
Kunusuru maana yake ni nini kwani Mkuu? Siyo kuwaondoa kwenye umaskini. Bali ule uliokithiri.
Haiwezi kumsaidia, ila pia haimuachi katika hali mbaya zaidi.
Onyesha sehemu nilipokataa. Hebu tulia Mkuu, maana una hype mpaka unazungumza kisichokuwepo.Sasa mbona ulikuwa unakataa kuwa TASAF ailipi iyo hela
Haya twende kwenye mada mtu kama huyo na maisha yalivyo kwa sasa ni sawa kulipwa ivyo nimeangalia karatas zake naona mwanafuzi analipwa 400 ni sawaOnyesha sehemu nilipokataa. Hebu tulia Mkuu, maana una hype mpaka unazungumza kisichokuwepo.
Mia nne au Elfu nne?Haya twende kwenye mada mtu kama huyo na maisha yalivyo kwa sasa ni sawa kulipwa ivyo nimeangalia karatas zake naona mwanafuzi analipwa 400 ni sawa
400 mkuuMia nne au Elfu nne?
Kama ni 4,000 yaweza kuwa sahihi. Kwa sasa nilishatoka huko kwa muda mrefu.
Tulishalipigia sana kelele. Hiyo hela ni ndogo mno. Ni sawa na hakuna. Mpango huo unabidi ufumuliwe upya.
Mkuu mimi sio mnufaika na tasaf ila wanufaika wa TASAF wanakandamizwa hakuna msaada pale unaotolewa uwezi kupunguza umasikini kwa 40000Kitendo tu cha wewe mtoa mada kuwepo humu basi wewe na familia yako hamstahili kupata hela za TASAF maana ni kwa ajili ya maskini wa kutupwa sasa wewe mpaka una smartphone ya kuingilia jf basi wewe ndio uokoe familia yako na sio TASAF.