Mimi nimetoa facts wewe unabwabwaja, nyie ndio aina ya wale wajinga mnaosingizia eti views zinarogwa😂😂😂
Yani lengo la uzi huu ni kupotosha watu kwamba diamond anacheza mchezo mchafu wa kununua views kitu ambacho si kweli, aliejaribu huu upuuzi labda ni msanii ambae alijiona mjanja kuliko YouTube akanunua views za China video unapiga views milioni ila zikashuka hadi laki saba baada ya kitu cha mchujo
Badilisha hio "kuboost" iwe "kupromote" soko lolote ili ufanikiwe inabidi uzingatie mno p 4 muhimu (wasomi wenzangu tuliosoma biashara wananielew)
1.Product- hii ni bidhaa, bidhaa inabidi iwe na nakshi, ivutie, ilinndwe, landing, labelling, copyrights,n.k hapa nazungumzia mziki, shooting zenye kiwango, collabo na kina Innis b, n.k
2.place- hii ni location ya kulenga bidhaa yako, huwezi kuuza uji bar, huwezi kuuza hiphop kanisani, Diamond kaweza hapa, naona kwenye mapenzi ndo penyewe na analemga mle mle.
3.price- bidhaa inabidi iwe na bei katika strategy maalum, diamond kumkodisba nadhani sitakaa kuongea mengi maana alishasema show zake uandae kiasi Fulani, hiki kitu ni muhimu,
4.Promotion - hapa ndo wengi wanapasahaugi, biashara ya mziki ni kama biashara nyingine na unaweza ukafilisika ukashindwa kulipia hata maproducer, Leo hii diamond kajipromote kwenye mipaka hadi ya Congo, ulaya, marekani n.k kwa mbinu kama collabo na muhimu kuliko vyote kupitia social networks pamoja na kupromote video zake watu wa huko nje wazi cheki, sasa hii sio bure inahitaji pesa kibao kupromote video zako nje ya nchi ila jamaa alijipinda na Leo hii hata yope ina hit kuliko ile original kwasababu ya promotion.
Uje na facts kama huna vua chupi kaa pembeni