USHAHIDI: Kumbe Wasafi wanaboost YouTube Channels zao kupata views. Sijui tambo huwa zinatoka wapi wakati siyo natural trending !!!

Ninaweka kama kumbukumbu tu !!

Kwa wale wasanii wengine wanaotegemea kuweka tu video zao YouTube na kutegemea kila kitu kiende basi ndio hivyo wenzenu wanalipia !!!
Nawe ka boost ya Ali kiba
 
Kwahiyo wewe unaona hiyo ni sahihi kujisifu uongo???maana watu wanajua views ni true kumbe fake
Fake? We mzee vipi? Kupromote video youtube ni moja ya strategy ya kibiashara mzee. Nani kakwambia kupromote maana yake faking?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…