Ushahidi: Maisha tena baada ya kifo


Kwanza kwa maelezo uliyogusa kuhusu Yesu na Eliya uko mbali sana na ukweli. Na ulipomalizia kwa kusema nitakumbuka nikifa, kwanza nianze kwa kupinga hilo kutoka katika biblia ambayo hata wewe umejaribu kuitumia kama muongozo, soma Mhubiri 9:5-6 uone biblia inavyozungumzia kuhusu wafu. Pia hata mimi sina kumbukumbu kama nilipozaliwa ilikuwa mara yangu ya kwanza au nilishawahi kuzaliwa hapo kabla na nikafa. Au jiulize mwenyewe, je ulishawahi kuishi kabla? Na kama bado, je unataka kusema watu waliokuwepo kipindi hicho hawakuwa wametosha mpaka kuwe na ulazima wa wengine kuzaliwa? Ilihali kwa maelezo yako, ingewezekana hao hao wa zamani, ndio wangekuwa wanazaliwa, wanakufa kisha wanazaliwa tena.
 

sijui mtoto wangu aliyezaliwa juzi alifia wapi…!!! " na alikufa lini na katiaka familia ipi… "!!! duh… kama ndo hivyo kumbe tusiogope kufa .. na kama una maisha magumu basi kufa leo unaweza ukazaliwa tena kwenye maisha mazuri….
 
Deja vu napataga sana hii. Mleta thread kuna percentage ya ukweli katika mada yako.
 
Mkuu hata mimi hili linanitokea najikuta nipo sehemu na vitendo vinavyofanyika sawa na vitu ambavyo ninauhakika kuwa navijua au nilishafika lakini najikuta kwa fikra ya kawaida sajawai kufika hapo! Sijui nini aisee!

Mkuu hebu jaribu kufanya Research ya hili swala na mimi nifanye ili tupate kujua zaidi maana si kawaida...
 
Bado sijapata majibu ya kina kuhusu hii Imani ya huko Asia.
 
unajua brains zetu zinatunza sana kumbukumbu......personally kuna vitu vingi sana vimeshawahi kujirudia au nimehisi kama nilishafanya kabla ila unashindwa kukumbuka ni lini na ilikuwajekuwaje and kuna times huwa nahisi kama vile siku imejirudia ila yote tisa. ...kumi ni imani zetu zinatujenga tofauti sana so kiukweli siri ya baada ya kifo wanaujua ni waliotangulia katika haki.........maada tata sana hii
 
Kuna MOVIE inaitwa AFTER LIFE ya kizungu eeh bwana eeh!!inatisha hiyo
 

Fear of Death!!!!!
 

Mkuu, hiyo kitu inamaelezo ya kibaiolojia juu ya hilo. (Deja vu)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…