Ushahidi: Maisha tena baada ya kifo

Ushahidi: Maisha tena baada ya kifo

Walio wanajua kuwa watakufa, bali wafu hawajui neno lolote kumbukumbu zao zimesahaulika. Soma biblia kitabu cha mhubiri sura na kifungu nime4geti
 
Kitu chochote cha dini kikisha involve wana sayansi huwa nakipotezea, wanasayansi hawaamini mungu and ibdont chose to believe their research.
Yale yale ya mtu alikuwa sokwe, mbona siku hizi masokwe hawawi watu? Uongo mtupu.
 
Jaman hebu mwogopen MUNGU siyo mna post vitu msivyo vijua.....

IMEANDIKWA
kila nafsi itaonja mauti, na kila nafsi itahukumiwa sawasawa na matendo yake.
 
Si kwamba hawaamini uwepo wa mungu bali ili wafanikishe(kama yote waliyokwisha fanya) huwalazimu kuuweka uwepo wa mungu kando(kuondoa hali ya kuhisi contradictions, mfano upasuaji wa moyo au ubongo,kumuongeza mtu damu! that are strange things sema tumezoea ndio tunaona eti ni sawa).mimi nilisoma masomo ya science,japo si mtu wa kuudhuria kanisani kivile,nilikuwa napatwa na hali ya contradictions,nikipatwa na hisia kali,au kusikia sauti,kupatwa imagination kwa kifupi nilikuwa confused kuhusu Science-GOD-Human.Siku hizi nasoma masomo ya biashara maisha yanaenda vyema,sipati depression(wana science huwasumbua sana).
 
Jaman hebu mwogopen MUNGU siyo mna post vitu msivyo vijua.....

IMEANDIKWA
kila nafsi itaonja mauti, na kila nafsi itahukumiwa sawasawa na matendo yake.

ni kweli unalosema. ila rudi tena kwenye refference yako(bible) ili ujue kama kuna nafsi na roho, na uje na tofaut zake hapa
 
Mtoa mada,watu walianzaje anzaje kuwepo?
 
Back
Top Bottom