Pre GE2025 Ushahidi wa Jinsi Katibu Mkuu wa CCM Emmanuel Nchimbi alivyotapeliwa na kudanganywa huko Itilima huu hapa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Tumerudia mara kadhaa humu tukionyesha namna baadhi ya viongozi matapeli wa ccm huko mikoani wakiwafanya viongozi wao wa Kitaifa Mabwege , kwa kuwakusanyia watu duni na wasela na kutangaza kwamba eti ni wanachama wa Chadema wanaohamia ccm, Lakini tumeonekana ni waongo.

Sasa angalia mwenyewe uone Nchimbi alivyopigwa hela kizembe sana

Soma Pia: Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi azifunga Ofisi za CHADEMA Itilima Mkoani Simiyu mbele ya Maelfu ya Wananchi

View attachment 3119104View attachment 3119106View attachment 3119107

Ni Aibu sana kwa kiongozi wa Juu wa CCM kudanganywa na watu wajinga kama hao viongozi wa Itilima.

Naamini baada ya Uzi huu viongozi wote wa CCM wa Itilima watafukuzwa.
kujaribu kuufaya ukweli kuonekana si kweli ni kazi nzito na ngumu sana,

mbaya zaidi,
inaumiza moyo sana na kukatisha tamaa mno, kwamba mna wanachama na wafuasi wachache tu kindakindaki eneo hilo, halafu tena katika uchache huo, wanahamia upande mwingine na kukuacha mikono mitupu dah ๐Ÿคฃ

hii siasa saa zinngine bana, unaweza kuzeeka wiki moja tu, unajenga huku, huku kunabomolewa na usaliti juu ๐Ÿคฃ
 
CCM ni chama ambacho kinata

CCM na viongozi wa CCM hutegemea zaidi hadaa, uwongo na utapeli wa kisiasa, hivyo wasemapo uwongo, ni kuwapuuza, maana hadaa, uwongo na utapeli wa kisiasa ndiyo sera yao kuu wanayoiishi kwa sasa.
 
Tumerudia mara kadhaa humu tukionyesha namna baadhi ya viongozi matapeli wa ccm huko mikoani wakiwafanya viongozi wao wa Kitaifa Mabwege , kwa kuwakusanyia watu duni na wasela na kutangaza kwamba eti ni wanachama wa Chadema wanaohamia ccm, Lakini tumeonekana ni waongo.

Sasa angalia mwenyewe uone Nchimbi alivyopigwa hela kizembe sana

Soma Pia: Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi azifunga Ofisi za CHADEMA Itilima Mkoani Simiyu mbele ya Maelfu ya Wananchi

View attachment 3119104View attachment 3119106View attachment 3119107

Ni Aibu sana kwa kiongozi wa Juu wa CCM kudanganywa na watu wajinga kama hao viongozi wa Itilima.

Naamini baada ya Uzi huu viongozi wote wa CCM wa Itilima watafukuzwa.
Wametiwa la kati kabisa kudadadadeq
 
CCM ni chama ambacho kinata

CCM na viongozi wa CCM hutegemea zaidi hadaa, uwongo na utapeli wa kisiasa, hivyo wasemapo uwongo, ni kuwapuuza, maana hadaa, uwongo na utapeli wa kisiasa ndiyo sera yao kuu wanayoiishi kwa sasa.
wanachadema wamehamia CCM kwa hiyari, haki, uhuru na mapenzi yao..

eti ndrugu yako kamanda mtoa hoja analeta matokeo ya uchaguzi sijui ya mwaka gani huko? sasa hiyo ina uhusiano gani na hayo mamia kwa maelfu ya wanachadema walio hamia CCM?๐Ÿคฃ
 
CCM ni chama ambacho kinata

CCM na viongozi wa CCM hutegemea zaidi hadaa, uwongo na utapeli wa kisiasa, hivyo wasemapo uwongo, ni kuwapuuza, maana hadaa, uwongo na utapeli wa kisiasa ndiyo sera yao kuu wanayoiishi kwa sasa.
Ndio maana tumewadhibiti haraka sana
 
Tumerudia mara kadhaa humu tukionyesha namna baadhi ya viongozi matapeli wa ccm huko mikoani wakiwafanya viongozi wao wa Kitaifa Mabwege , kwa kuwakusanyia watu duni na wasela na kutangaza kwamba eti ni wanachama wa Chadema wanaohamia ccm, Lakini tumeonekana ni waongo.

Sasa angalia mwenyewe uone Nchimbi alivyopigwa hela kizembe sana

Soma Pia: Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi azifunga Ofisi za CHADEMA Itilima Mkoani Simiyu mbele ya Maelfu ya Wananchi

View attachment 3119104View attachment 3119106View attachment 3119107

Ni Aibu sana kwa kiongozi wa Juu wa CCM kudanganywa na watu wajinga kama hao viongozi wa Itilima.

Naamini baada ya Uzi huu viongozi wote wa CCM wa Itilima watafukuzwa.
Kama mama Abdul anakubali kutapeliwa mchana kweupe, nchimbi hachomoki.
 
1728417414039.jpeg
 
Hio wilaya nasikia ina wachawi wengi kuliko idadi ya watu wanaoishi.
Kuroga kwao ni sifa, unaweza urogwe ili tuu ukose choo.
 
Kanda ya ziwa yote iko hivyo, % kubwa huwa hawaamini hata Mungu
 
Tumerudia mara kadhaa humu tukionyesha namna baadhi ya viongozi matapeli wa ccm huko mikoani wakiwafanya viongozi wao wa Kitaifa Mabwege , kwa kuwakusanyia watu duni na wasela na kutangaza kwamba eti ni wanachama wa Chadema wanaohamia ccm, Lakini tumeonekana ni waongo.

Sasa angalia mwenyewe uone Nchimbi alivyopigwa hela kizembe sana

Soma Pia: Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi azifunga Ofisi za CHADEMA Itilima Mkoani Simiyu mbele ya Maelfu ya Wananchi

View attachment 3119104View attachment 3119106View attachment 3119107

Ni Aibu sana kwa kiongozi wa Juu wa CCM kudanganywa na watu wajinga kama hao viongozi wa Itilima.

Naamini baada ya Uzi huu viongozi wote wa CCM wa Itilima watafukuzwa.
Na wewe ni muongo:Huko Kanda ya ziwa wanamuelewa sana SAMIA. Nana unatafuta justification ya kukataa matokeo ya serikali za mitaa:
 
Back
Top Bottom