Ushahidi wa kuwa na Nay wa Mitego na Shamsa Ford wanapika na kupakua huu hapa

Ushahidi wa kuwa na Nay wa Mitego na Shamsa Ford wanapika na kupakua huu hapa

FROWIN

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2012
Posts
213
Reaction score
84
[h=3][/h]
Staa mrembo kutoka Bongo Movies, Shamsa Ford ambae hivi majuzi aliweka wazi kuachana na mume wake ambae wamezaanae mtoto mmoja, imebainika kuwa kwasasa yupo kwenye mahusino ya kimapenzi na Staa wa Bongo Fleva, Nay Wamitego.

Hivi sasa wawili hao wanaonekana sehemu mablimbali wakiwa wapo close na kutupia mapicha mtandaoni kitu kinachompa presha mwadada Siwema ambae hivi majuzi alinyang’anywa mototo na Nay Wa Mitego na hiyo kuamua kurusha madogo mtandaoni.

Japo kuwa Nay wa Mitego yupo mstari wa mbele kuwapondea wadada wa Bongo Movies kwenye nyimbo zake, lakini kwenye maisha halisi anaonekana kuwzimia sana kwani alishakuwa na mahusia yo kimapenzi na wadadawa bongo movies kadhaa kabla ya Shamsa wakiwemo Nisha na Bozi.
Ushahidi wa Laivu Kuwa na Nay wa Mitego na Shamsa Ford Wanapika na Kupakua Huu Hapa | Hottest Gossip,Breaking News, Entertainment, Celebrity News,Lattest Gossip,Politics,&More!
 
ahahah hakyamama yalomkuta ungo na peku pia yatamkuta
 
Back
Top Bottom