Ushahidi wa picha: Simba imewahi kutwaa ubingwa Afrika

Ushahidi wa picha: Simba imewahi kutwaa ubingwa Afrika

John Gregory

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2019
Posts
1,137
Reaction score
2,147
Kwa wale wasiofahamu, Simba SC imewahi kutinga na kunyanyua kwapa mara kadhaa katika hatua ya nusu na fainali hatimaye ubingwa huko ughaibuni.

Hapa ni moja ya viungo wakabaji akiwa amenyanyua kwapa baada ya kutwaa ndoo.
IMG_20230429_110601.jpg


Hapa ni moja ya ndoo zilizochukuliwa na kilabu hiki katika michuano hiyo.

IMG_20230429_200940.jpg


Screenshot_20230501-130351_Gallery.jpg


Hongera sana kwa wadau ma mashabiki wote kwa mafanikio haya makubwa kwani bila ninyi tusingeweza kufika hapa tulipo na kupata mafanikio haya.

Simba Guvu Moya.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] imedhaminiwa na MO 29 & metl group
 
Mkiambiwa HAMNA AKILI mnalalamika.....

Uto bwana
 
HILI ZZE TA KWELI YANI.

UNAWAZA KILA MUDA MPIRA.

TAFUTA VITABU SOMA UONGEZE MAARIFA..

MNAJAZA SEVA ZA JAMII FORUM.
 
Back
Top Bottom