John Gregory JF-Expert Member Joined Jul 14, 2019 Posts 1,137 Reaction score 2,147 May 1, 2023 #1 Kwa wale wasiofahamu, Simba SC imewahi kutinga na kunyanyua kwapa mara kadhaa katika hatua ya nusu na fainali hatimaye ubingwa huko ughaibuni. Hapa ni moja ya viungo wakabaji akiwa amenyanyua kwapa baada ya kutwaa ndoo. Hapa ni moja ya ndoo zilizochukuliwa na kilabu hiki katika michuano hiyo. Hongera sana kwa wadau ma mashabiki wote kwa mafanikio haya makubwa kwani bila ninyi tusingeweza kufika hapa tulipo na kupata mafanikio haya. Simba Guvu Moya.
Kwa wale wasiofahamu, Simba SC imewahi kutinga na kunyanyua kwapa mara kadhaa katika hatua ya nusu na fainali hatimaye ubingwa huko ughaibuni. Hapa ni moja ya viungo wakabaji akiwa amenyanyua kwapa baada ya kutwaa ndoo. Hapa ni moja ya ndoo zilizochukuliwa na kilabu hiki katika michuano hiyo. Hongera sana kwa wadau ma mashabiki wote kwa mafanikio haya makubwa kwani bila ninyi tusingeweza kufika hapa tulipo na kupata mafanikio haya. Simba Guvu Moya.
Paz3i JF-Expert Member Joined Oct 11, 2014 Posts 894 Reaction score 1,330 May 1, 2023 #2 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] imedhaminiwa na MO 29 & metl group
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] imedhaminiwa na MO 29 & metl group
DullyJr JF-Expert Member Joined Apr 10, 2011 Posts 13,983 Reaction score 11,857 May 1, 2023 #3 Mkiambiwa HAMNA AKILI mnalalamika..... Uto bwana
CAPO DELGADO JF-Expert Member Joined Aug 31, 2020 Posts 8,542 Reaction score 18,340 May 1, 2023 #4 HILI ZZE TA KWELI YANI. UNAWAZA KILA MUDA MPIRA. TAFUTA VITABU SOMA UONGEZE MAARIFA.. MNAJAZA SEVA ZA JAMII FORUM.
HILI ZZE TA KWELI YANI. UNAWAZA KILA MUDA MPIRA. TAFUTA VITABU SOMA UONGEZE MAARIFA.. MNAJAZA SEVA ZA JAMII FORUM.