Ushahidi: Wapenda umbea ni wanaume na si wanawake

sonaderm

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2015
Posts
618
Reaction score
1,816
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza,ushahidi huu upo lwenye page ya mbea maarufu soudy brown huko instagram ambapo zaidi ya nusu ya wafuatiliake wake ni vidume mjini!Jamaa anakaribia kufikisha followers million moja lakini ndio hivyo mashabiki wake kwa asilimia kubwa ni wanaume ambao ni mara 2 ya asilimia ya wanawake wa mjini walio bize na laptop simu na vibegi mgongoni!Huu ni ushahidi tosha wa kwa nini marioo wameongezeka mjini..

 
Wanaume wa Mjini tunapenda sana hizo mambo umbea hata Shigongo anaishi kwa umbea.na inabidi alipie humu maana umbea mwingi anatoa humu
 
Na wewe uliefanya utafiti upo upande gani kati ya hao?
 
Hao ni wanaume wa dar,,sisi wa mikoani hatunaha izo mambo asee,,
 
[emoji28][emoji28][emoji28]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…